Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Hili liache mkuu.Mkuu ebu fafanua
Kuna uhusiano gani kati ya Mama na Hersi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili liache mkuu.Mkuu ebu fafanua
Kuna uhusiano gani kati ya Mama na Hersi?
Hadi leo wasiojua mpira bado mnadhani mayele ni mchezaji wa yanga yupo al ahly kwa muda atarudi jangwani.Sipati picha kama mtu mbadi mayele angekuwepo
Hivi nani huwa anawadanganya haya? Maana hata Mayele mlikua mnasema hivihivi eti yupo kwa mkopo🤣Yote yanawezekana ila mwisho wa siku lazima waondoke. Max yuko kwa mkopo Yanga hivyo kuondoka ni jambo linalowezekana wakati wowote.
Tusifanye kuwa mada kubwa. Iwe kwa mkopo ama sio jambo la msingi anaitumikia Yanga kwa miaka miwili maana kote pesa lazima itoke ili kumpata na inatamkwa amesajiliwa.Hivi nani huwa anawadanganya haya? Maana hata Mayele mlikua mnasema hivihivi eti yupo kwa mkopo[emoji1787]
Sasa wewe mwenyewe tuambie ulishawahi ona wapi mkopo wa miaka miwili?Tusifanye kuwa mada kubwa. Iwe kwa mkopo ama sio jambo la msingi anaitumikia Yanga kwa miaka miwili maana kote pesa lazima itoke ili kumpata na inatamkwa amesajiliwa.
Hivi unafuatilia mpira na kanuni zake mkuu? Kama hujui kama kuna mkopo wa mchezaji kwa zaidi ya miaka miwili unachokijua ni kipi sasa?Sasa wewe mqenyewe tuambie ulishawahi ona wapi mkopo wa miaka miwili?
Huh.. nionyeshe huo mkopo wa miaka miwili na niambie ilitokea wapi? Nataka proffesional footballHivi unafuatilia mpira na kanuni zake mkuu? Kama hujui kama kuna mkopo wa mchezaji kwa zaidi ya miaka miwili unachokijua ni kipi sasa?
Daah. Nenda Google huko wako wachezaji kibaoHuh.. nionyeshe huo mkopo wa miaka miwili na niambie ilitokea wapi? Nataka proffesional football
🤣🤣Duuu njano mmoja tuuu!!
Umefafanua vizuri sana si unaona mf kwa Sasa kama bangala angekuwa yupo back up ya Aucho ingekuwa haisumbui sana maana jamaa kwenye makundi asipokula umeme ni bahati na mbadala wake ni Mauya Zawadi viwango havifananiAsilimia nyingi ya tunaojadili hapa ni wanayanga kwa upande wa madunduka hawana nguvu ya kusema chochote.
Sema kiuhalisia timu yoyote haipendi kupoteza kocha au mchezaji wake mzuri. Hakuna aliyefurahishwa na maamuzi ya Fei, hakuna aliyefurahishwa na kuondoaka kwa asilimi 90 ya benchi la ufundi lililoipa mafanikio timu yetu, hakuna aliyefurahishwa na kuondoa kwa Mayele au kiburi cha Bangala kilichomfanya auzwe Azam. Timu yoyote ili iendeleze ubabe lazima ibakize watu wake bora.
Hivyo kuzungumzia nini kitafuata baada ya mafanikio yetu sio dhambi maana ndio kinachofuata. Hii Yanga ni bora sana kuanzia management, benchi la ufundi, wachezaji pamoja na mashabiki ambao wamekuwa very royal kwa timu muda wote. Ipo siku benchi la ufundi na wachezaji wakitoa huduma nzuri Yanga wapo watakaukuja kutaka huduma yao. Dunia iko hivyo siku ingawa ni ngumu kumeza.
Maxi ana miaka 23 atakapomaliza miaka yake ya mkataba atakuwa na miaka 25 atakuwa mwanaume amekomaa mno. Kama atakuwa na kiwango hiki alicho nacho sasa ama kuongezeka basi wenye nguvu watamtwaa na hatutakuwa na uwezo wa kumzuia.
Jambo la msingi kwa sasa tuna uongozi thabiti na udhamini bora. Tuko mikono salama kwa sasa
Na watakae mleta wajiandae kumfukuza tena au kuvumilia ili wamfukuze mwakaniWenzenu wameshafukuza kocha huko.
Unaweza kuwa sahihi ila ni ngumu kuwabakiza wachezaji wenye profile zinazofanana. Ni lazima mmoja aondoke kwa kuwa wote wanataka wawe ndani ya first 11 . Mauya au sure boy kuwa kama backup ya Aucho si mbaya.Umefafanua vizuri sana si unaona mf kwa Sasa kama bangala angekuwa yupo back up ya Aucho ingekuwa haisumbui sana maana jamaa kwenye makundi asipokula umeme ni bahati na mbadala wake ni Mauya Zawadi viwango havifanani
Ni kweli sio back up mbaya ila naona rotation Yao kama haifanyiki mfano sure boy game kama tatu sijamuona hata akiingia dk za mwisho anyway ngoja tuone inakuwajeUnaweza kuwa sahihi ila ni ngumu kuwabakiza wachezaji wenye profile zinazofanana. Ni lazima mmoja aondoke kwa kuwa wote wanataka wawe ndani ya first 11 . Mauya au sure boy kuwa kama backup ya Aucho si mbaya.
Timu ikishajipata huwezi fanya rotation hovyo mkuu. Ni pale tu mchezaji wenu aliyebora anahitaji kupumzika ndio angalau utamfanyia rotation. Unaanzaje kumfanyia rotation Max kwa mfano au Aucho mwenyewe.Ni kweli sio back up mbaya ila naona rotation Yao kama haifanyiki mfano sure boy game kama tatu sijamuona hata akiingia dk za mwisho anyway ngoja tuone inakuwaje