Je, Yanga kwanini hamkusajili kwa ajili ya mashindano ya kimataifa wakati mlipewa taarifa mapema na CAF kupitia TFF?

Payrol

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2018
Posts
2,286
Reaction score
3,082
Juzi kati hapa kocha Zahera alisema timu ya Yanga haikusajili kwa ajili ya mashindano ya kimataifa, hii kauli inaungwa mkono na baadhi ya mashabiki na viongozi wa Yanga.

Je, Yanga nyie kwa nini hamkusajili kwa ajili ya mashindano ya kimataifa wakati mlipewa taarifa mapema na CAF kupitia TFF kwa taarifa iliyotolewa na TFF tarehe 4 June 2019?

Je, ni wachezaji gani Yanga mliwasajili kabla ya Taarifa ya TFF kuhusu timu zitakazoshiriki mashindano ya CAF champion ya tarehe 4 June 2019 wakati Hata akina balinya, makame mliwatangaza siku ya kubwa kuliko iliyofanyika tarehe 15 June 2019?

Mwisho, Ni mchezaji yupi wa Yanga alisajiliwa na akatangazwa kabla ya tarehe 4 june 2019
Screenshot_2019-11-03-10-49-07.jpg
 
Simba walisajili rasmi kwa ajili ya CAF CL, wametolewa mapema raundi ya awali kabisa na wamakonde, Zahera alisema mapema kabisa kabla hata mechi za kimataifa hazijaanza kuwa amesajili kwa ajili ya ligi kuu, acheni kumuonea
 
Simba ilitakiwa wasiwalipe mishahara akina Kagere, Chama, Shiboub, Wabrazil,kahata, Hawa walisajiliwa kwa ajili ya kombe la africa , kuwalipa kwa ajili ya kucheza na Mbao, Mbeya City, ni matumizi mabaya ya pesa
 
Mwinyi Zahera hajawahi kuwajibika pale timu inapofanya vibaya! Atajitahidi kwa namna yoyote ile amuangushie mzigo mtu mwingine. Na hiyo ndiyo hulka yake.
 
Kwa nini sasa mlikua mnasajili kwa ajili ya ligi kuu wakati mnajua mnamashindano ya kimataifa?
 
Simba ilitakiwa wasiwalipe mishahara akina Kagere, Chama, Shiboub, Wabrazil,kahata, Hawa walisajiliwa kwa ajili ya kombe la africa , kuwalipa kwa ajili ya kucheza na Mbao, Mbeya City, ni matumizi mabaya ya pesa
Simba walisema kabsa malengo ni kuchukua ligi kuu na kuvuka kuingia nusu fainali CAF champion.
Lengo moja limefeli bado moja ndo wanapigania.
 
Mwinyi Zahera hajawahi kuwajibika pale timu inapofanya vibaya! Atajitahidi kwa namna yoyote ile amuangushie mzigo mtu mwingine. Na hiyo ndiyo hulka yake.
Ko hili ni sababu tu baada ya kufanya vibaya
 
Iko hivi tangia mwanzo ilijulikana kuwa kunauwezekano wa timu 4 kuingia mashindano ya kimagaifa msimu wa 2020/2021 lakin CAF Wakaona hapana tuanze na msimu huu 2019/20.Mpaka hilo linafanyika na kutolewa maamuzi tayari simba na Yanga zilikuwa zishamaliza usajiri.Hata hii ya kuwahisha mashindano ya CAF kuanzia mwezi wa 7 hii ilikuwa ghafla na hata simba ndio iliyowaathiri zaidi.Kwa hiyo Yanga ilisajiri wachezaji hao ili iwasaidie kutwaa ubingwa wa azam ili washiriki confederetion au ubingwa ili wacheze champions league.

Hata hivyo nimesikia kuwa nafasi 4 tulizopewa tutazitumikia miaka 4 hivyo mpaka msimu wa 2023/2024.Kwa hiyo simba Yanga ,azam tujipange ili kuziongezea/kuzilinda nafasi.
 
Simba na Yanga zilimaliza usajili wake lini wakati TFF walitoa taarifa ya CAF tarehe 4 June 2016.?
 
Mimi hayo niliyoeleza ni kutoka baadhi ya vyanzo but sina taarifa sahihi za tarehe ya lini hasa ilikuwa mwisho wa kutuma majina CAF na kuwa je,shida nini hasa?
Tujipange mwakani ili tusiaibike kama mwaka huu
Simba na Yanga zilimaliza usajili wake lini wakati TFF walitoa taarifa ya CAF tarehe 4 June 2016.?
 
Dilisha la usajiri lilifungwa July 31 taarifa ya team 4 ilitowewa June 4 ukipiga hesabu hapo kuna siku zisizozidi 20 kwa mfumo wetu wa ki Africa na miundominu ni ngumu kukamilisha usajiri hasa ukizingatia usumbufu wa wachezaji wa kiafrica
 
Lakini Kwenye hizo siku ni kwamba bado yanga walikua hawajasajili mchezaji Hata mmoja kabla ya tarehe 4/6/2019.
Kwa nini walikuja kusajili wachezaji wa ligi kuu wakati tayri walikua wamepewa taarifa na CAF mapema kua Tanzania itapeleka timu nne
 
Walikuwa washasajiri mbona hao kina Issa Bigirimana,Sibomana,Moro ,sydney karibia wote ilikuwa tayari.
 
Wao wako bize kushangilia timu za kigeni zinapocheza na Simba mpaka wamesahau kufanya maandalizi ya timu yao hawa MENINA FC ni bure kabisa
 
Simba walisajili rasmi kwa ajili ya CAF CL, wametolewa mapema raundi ya awali kabisa na wamakonde, Zahera alisema mapema kabisa kabla hata mechi za kimataifa hazijaanza kuwa amesajili kwa ajili ya ligi kuu, acheni kumuonea
MENINA FC mumeingia kwenye makundi baada ya kufumua pyramids.
 
Juzi kati hapa kocha Zahera alisema timu ya Yanga haikusajili kwa ajili ya mashindano ya kimataifa, hii kauli inaungwa mkono na baadhi ya mashabiki na viongozi wa Yanga.

Je, Yanga nyie kwa nini hamkusajili kwa ajili ya mashindano ya kimataifa wakati mlipewa taarifa mapema na CAF kupitia TFF kwa taarifa iliyotolewa na TFF tarehe 4 June 2019?

Je, ni wachezaji gani Yanga mliwasajili kabla ya Taarifa ya TFF kuhusu timu zitakazoshiriki mashindano ya CAF champion ya tarehe 4 June 2019 wakati Hata akina balinya, makame mliwatangaza siku ya kubwa kuliko iliyofanyika tarehe 15 June 2019?

Mwisho, Ni mchezaji yupi wa Yanga alisajiliwa na akatangazwa kabla ya tarehe 4 june 2019View attachment 1252618
Walisajili ni mbwembwe za Kocha wao baada ya kuona wamebamizwa na Pyramid akatafuta kisingizio subiri arudi toka Cairo utasikia mengine
 
Back
Top Bottom