Je yawezekana hali ya kifedha ya Serikali ni Mbaya? Kwanini Tozo za ziada na kwanini iwe Sasa?

Mwanamwaiche

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2022
Posts
665
Reaction score
968
Hello comrade nasawalimu Kwa upendo naomba tuwaze hili Kwa pamoja, je yawezekana Serikali hali yake kifedha si njema kukidhi majukumu yake? Kwanini Tozo za ziada na kwanini iwe Sasa? Je kuna mahali Kodi stahiki haikusanywi Kwa usahihi? Shida vyanzo? Budgetary long-term approaches za kikodi zimeainisha haya ya tozo za miamala ya kibenki au ni dalili economy rescue tactical intervention ya kimapato,? Najiuliza sana, inclusively I wouldnt think bad on Mwigulu but how he argues and respond to issues as an individual and more so who has been entrusted with the custody of the Finance docket leaves me a puzzled mongoose
 
Ziara zote za Nje kuanzia Royal Tour huko kwa Babu Biden ambapo alikaa masiku kibao, hadi Dubai kote huko mama alikuwa akipewa mapesa, na Abdallah Burembo alitwambia mama anafanya ziara za Nje ili kutafuta pesa sasa alikuwa ananenda na kiroba kidogo na kibeba pesa ndogo, au zingine zilidondoka njiani au wezi walikuwa wanamchorea atoke ili wakwibe kwa marumbesa kama akina Tibaijuka walivyobeba mifuko ya pesa za escrow ambazo Kikwete alisema ni zao tu acha wagawane!
 
Hello comrade nasawalimu Kwa upendo naomba tuwaze hili Kwa pamoja, je yawezekana Serikali hali yake kifedha si njema kukidhi majukumu yake? Kwanini Tozo za ziada na kwanini iwe Sasa? Je kuna mahali Kodi stahiki haikusanywi Kwa usahihi? Shida vyanzo? Budgetary long-term approaches za kikodi zimeainisha haya ya tozo za miamala ya kibenki au ni dalili economy rescue tactical intervention ya kimapato,? Najiuliza sana, inclusively I wouldnt think bad on Mwigulu but how he argues and respond to issues as an individual and more so who has been entrusted with the custody of the Finance docket leaves me a puzzled mongoose
Mikopo mingi ya nyuma 2000 to 2015 imeivaa na inapaswa kurejeshwaa.
 
My friend this is an elegant point, Sasa si kila jambo liko na njia, are we poisoned state, society, seems this has for decades been an incapacitated nation ni aibu sana, inaogopesha.
 
It's seems tuko vizuri kwenye grabbing na sio thinking and making. Theiving is a noble credit look at TRA how comes inaonekana sio manageable wala controllable? Trends na dynamics si njema.
 
Back
Top Bottom