johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mkuu Pascal wewe ni nabii!Naunga mkono hoja
PBaada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
Wanabodi, Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" boldness and sometimes unreasonably boldness...www.jamiiforums.com
Angalia alipoanziaMkuu Pascal wewe ni nabii!
Hill Kanisa limejengwa juu ya mwamba! Halitikisiki!Pengo anasababisha watu wazidi kulidharau hili kanisa na yeye mwenyewe
Hakika mkuu!Hill Kanisa limejengwa juu ya mwamba! Halitikisiki!
Hata Dr Shoo alikiri kumkubali Makonda pale KKKT kwenye msiba wa Mengi!Kala maharagwe ya simiyu huyo
Wewe ni zaidi ya kardinali Pengo?!!Tujuavyo Watanzania baada ya Raisi Magufuli ni Magufuli!
Nini kimekusukuma kumtaja Dr. Shoo?Hata Dr Shoo alikiri kumkubali Makonda pale KKKT kwenye msiba wa Mengi!
Mwamba wa Pengo siyo? Ndiyo maana mapadri na maaskofu wanabikiri vitoto vidogo dunia nzima kama wanafanya mashindanoHill Kanisa limejengwa juu ya mwamba! Halitikisiki!
Utume wake!Nini kimekusukuma kumtaja Dr. Shoo?