Je, yawezekana Kardinali Pengo ametuonyesha "moshi mweupe" wa mrithi wa Rais Magufuli mwaka 2025?

Amewalaumu nani?
mkuu hebu tofautisha kati ya mtu na taasisi yeye katoa maoni kama yeye na wala hajasema msimamo wa kanisa katoliki ni huu.
Usitufanye sisi ni wajinga. Yeye kwani shida yake ni nini? au ana mtu aliyetaka tukampigie kura? huyo mtu si yeye aende akampigie?
 
Katoliki ni kwangu, KKKT ni kwangu, TAG ni kwangu na CCM ni kwangu.......una la kuongeza?!
Kwani taasisi za dini na vyama vya siasa ni hivyo tu? Kwa nini huko kwingine hupo? Nani alikuuliza haya yote? Unajishuku nini?
 
Muda wake ushapita hakuna ajuaye Wa 2025.Sio rahisi
 
Kwani taasisi za dini na vyama vya siasa ni hivyo tu? Kwa nini huko kwingine hupo? Nani alikuuliza haya yote? Unajishuku nini?
Wewe ndio mwenye mashaka......mimi kumtaja Dr Shoo roho imekuuma kwelikweli!!
 
Kanisa halikuanza jana mkuu lipo karne kibao wengi walitoka na kuanzisha makanisa yao lakini limeendelea kuwepo! Hata wewe nenda kaanzishe kanisa lako wala halitayumba eti kwa sababu alijaunga mkono saccos ya Chadema!!
Hata kule Yudea Serikali ya Kirumi chini ya Prefect Pontius Pilate walishirikiana na mkuu wa dini wa Kiyahudi wakati ule Serhedrin Joseph ben Caiaphas kumfitini Yesu. Caiaphas wa leo ni Pengo. Hawa viongozi wa dini siyo wa kuwachekea mkuu. Tuwambie ukweli wanapokosea.

Ingekuwa leo Pengo kaunga mkono upinzani sasa hv mngekuwa mnachunguza uraia wake au mnataka kufuta kanisa lenyewe
 
Hili kanisa kinachonipelekaga kusali ni zile sacramenti tu Nikila hizo sacrament natoka nduki mpaka nisikie kengele imegonga tena nakwenda kula Sacramenti
 
Hata kule Yudea Serikali ya Kirumi chini ya Prefect Pontius Pilate walishirikiana na mkuu wa dini wa Kiyahudi wakati ule Serhedrin Joseph ben Caiaphas kumfitini Yesu. Caiaphas wa leo ni Pengo. Hawa viongozi wa dini siyo wa kuwachekea mkuu. Tuwambie ukweli wanapokosea.

Ingekuwa leo Pengo kaunga mkono upinzani sasa hv mngekuwa mnachunguza uraia wake au mnataka kufuta kanisa lenyewe
Kufuta Kanisa Katoliki?!
 
Tusidanganyane kuwa ati maendeleo hayana chama! Kwa A5 Maendeleo ni ya CCM…!
 
Next president hawezi akawa mkristu
 
Yes yes and yes... u said it right boss
Kanisa halikuanza jana mkuu lipo karne kibao wengi walitoka na kuanzisha makanisa yao lakini limeendelea kuwepo! Hata wewe nenda kaanzishe kanisa lako wala halitayumba eti kwa sababu alijaunga mkono saccos ya Chadema!!
 
Kanisa halikuanza jana mkuu lipo karne kibao wengi walitoka na kuanzisha makanisa yao lakini limeendelea kuwepo! Hata wewe nenda kaanzishe kanisa lako wala halitayumba eti kwa sababu alijaunga mkono saccos ya Chadema!!
Hivi ni kweli kwenye kanisa asa makasisi bado wanaendelea na mchezo wa kulawiti watoto? Maana niliwai kusikia kua huko Vatican vijana wengi waliharibiwa na makasisi wa Kanisa Katoliki!
 
Wasukuma niwachapa kazi sana
Kiukweli hili la uchapa kazi, halina ubishi, sio unaona hapa kazi tuu, watu wanavyochapa kazi

P
 
Tunazidi kumuheshimu na kanisa linajengewa heshima zaidi.
Ninadharau maaskofu wa kibavicha mbao kila siku wao kuandika hate against serikali
Hata wale maaskofu wa Rwanda walioshiriki mauaji walikuwa na watu kama wewe wanaowaheshimu. Endeleea tu mkuu kuwapa heshima
 
Back
Top Bottom