Je, yawezekana Kardinali Pengo ametuonyesha "moshi mweupe" wa mrithi wa Rais Magufuli mwaka 2025?

Je, yawezekana Kardinali Pengo ametuonyesha "moshi mweupe" wa mrithi wa Rais Magufuli mwaka 2025?

Hata Rwanda ambapo ni jiran
Kanisa halikuanza jana mkuu lipo karne kibao wengi walitoka na kuanzisha makanisa yao lakini limeendelea kuwepo! Hata wewe nenda kaanzishe kanisa lako wala halitayumba eti kwa sababu alijaunga mkono saccos ya Chadema!!
jirani inajulikana shughuli yake....
 
Aisee. Bwana Pascal hivi kweli unaamini huyo jamaa ako anaweza kuwa mtu sahihi pale magogoni?

Kweli sasa magogoni pamekuwa pa kawaida sana hata watu kama jingalao na yehodaya wanaweza kuishi ktk ukuu.
 
Watanzania tusipoteze lulu hii tuliopewa na Mwenyezi Mungu 2025 Mh. Raisi anafaa kuongezewa muda wa kuiongoza Tanzania kwa kwa awamu nyingine tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtazamo wangu miaka 10 inatosha kwa makada wengine wa chama cha Mapinduzi kujifunza mazuri ya Magufuli na kupokea kijiti. Atakumbukwa kwa kuonesha njia katika awamu yake ya tano.

Maana hata yeye anayeonekana Bora ni zao la watangulizi wake

Umetoa jibu moja la hekima na busara sana..safi sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom