johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #61
Wewe unafananisha Katoliki na KKKT?Cha ajabu nini mkuu. Mbona KKKT walitaka kufuta?
Yaani Kanisa la Dunia na Kansa la Tanzania?
Yaani baba na mtoto?!
Wewe unafananisha Katoliki na KKKT?Cha ajabu nini mkuu. Mbona KKKT walitaka kufuta?
Yeye hana shida na mtu yeye katoa maoni yake kama mtanzania mwingine anavotoa maoni sasa kwanini unataka atoe maoni kama unavotaka wewe?Usitufanye sisi ni wajinga. Yeye kwani shida yake ni nini? au ana mtu aliyetaka tukampigie kura? huyo mtu si yeye aende akampigie?
Kumbe hii RC ya Tanzania ni ya dunia nzima?Wewe unafananisha Katoliki na KKKT?
Yaani Kanisa la Dunia na Kansa la Tanzania?
Yaani baba na mtoto?!
Yaani sijui kwanini nafasi zote za utendaji wasipewe wasukuma tu. Mkuu hivi mzila nkede kwa utamaduni ya kisukuma anakua mtu wa wapi na ukoo gani?Kiukweli hili la uchapa kazi, halina ubishi, sio unaona hapa kazi tuu, watu wanavyochapa kazi
P
Hili aulizwe Mkuu Britanicca na Katto wake.Yaani sijui kwanini nafasi zote za utendaji wasipewe wasukuma tu. Mkuu hivi mzila nkede kwa utamaduni ya kisukuma anakua mtu wa wapi na ukoo gani?
Olighwa?
Pascal, Acha basi. Yaani Tanzania iendelee kuongozwa na vyeti feki!!? Tutaendelea kudharauliwa duniani hadi lini!!?Angalia alipoanzia
![]()
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Wanabodi, Naomba kukiri kumfahamu Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, tangu kitambo kidogo kwa Paul kutambulishwa kwangu nikiwa mjini Dodoma, pale Dodoma Hotel, kiukweli nilimuona kama ni mtu anayejisikia fulani!, anajiona na kama anaringa fulani, ukijumlisha na zile kauli zake za...www.jamiiforums.com
Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Wanabodi, Ukiisikia simulizi za historia ya Mkuu wa Dar es Salaam, Paul Makonda, tangu kuzaliwa, alipotoka, mapito aliyopitia na hadi sasa alipo, na kuifikiria picha ya anapokwenda, baada ya kusoma makala hii na kusikiliza masimulizi haya, mtakubaliana na mimi kuwa, huyu Paul Makonda ni...www.jamiiforums.com
Kwani uongozi ni vyeti au uwezo wa kuongoza.Pascal, Acha basi. Yaani Tanzania iendelee kuongozwa na vyeti feki!!? Tutaendelea kudharauliwa duniani hadi lini!!?
Hata wale maaskofu wa Rwanda walioshiriki mauaji walikuwa na watu kama wewe wanaowaheshimu. Endeleea tu mkuu kuwapa heshima
Wewe unadhani maaskofu wao wanapigiwa kura kama hawa akina Munga na Malasusa?!Kumbe hii RC ya Tanzania ni ya dunia nzima?
Hawa maaskofu ndio wamepokea kijiti kutoka kwa Mtume Petro hivyo sauti na maono yao hutoka kwa Mungu.
Kardinali Pengo ndiye pekee hapa nchini Tanzania mwenye kura ya kumchagua baba mtakatifu ( Papa) wa dunia nzima.
Nijuavyo mimi kumchagua Papa ni jukumu gumu na zito kuliko lile la kumtabiri kiongozi ajaye wa nchi fulani.
Hivyo Kardinali Pengo anenapo tuwe tunamsikiliza kwa makini na kumuelewa.
Mlale unono
Maendeleo hayana vyama!
Umempaisha mno, bado utabiri wake haujatimia.Mkuu Pascal wewe ni nabii!
Angalia alipoanzia
![]()
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Wanabodi, Naomba kukiri kumfahamu Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, tangu kitambo kidogo kwa Paul kutambulishwa kwangu nikiwa mjini Dodoma, pale Dodoma Hotel, kiukweli nilimuona kama ni mtu anayejisikia fulani!, anajiona na kama anaringa fulani, ukijumlisha na zile kauli zake za...www.jamiiforums.com
Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Wanabodi, Ukiisikia simulizi za historia ya Mkuu wa Dar es Salaam, Paul Makonda, tangu kuzaliwa, alipotoka, mapito aliyopitia na hadi sasa alipo, na kuifikiria picha ya anapokwenda, baada ya kusoma makala hii na kusikiliza masimulizi haya, mtakubaliana na mimi kuwa, huyu Paul Makonda ni...www.jamiiforums.com
P
Amen. Tena nilimspot zamaniMwaka 2020-2025, utakuwa ni mwaka wa mafanikio sana kwake Makonda...
Bila shaka anaweza shika kijiti hiyo 2025...
Amen. Time will tell!.Umempaisha mno, bado utabiri wake haujatimia.
Tuombe uzima tuone hiyo 2025 kama itakuwa kweli. Na hapo ndipo unaweza kumwita Pascal nabii kama hiyo sifa anayo.