Je Zakayo Mtoza ushuru wa kwenye Biblia alikuwa na ufupi wa aina gani? wa kawaida au wa mbilikimo ? alikuwa ameoa? alikuwa kabila gani?

Je Zakayo Mtoza ushuru wa kwenye Biblia alikuwa na ufupi wa aina gani? wa kawaida au wa mbilikimo ? alikuwa ameoa? alikuwa kabila gani?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika hapo juu

Wenye elimu mtuelimishe zaidi kuhusu ndugu yetu huyo aliyepata umaarufu baada ya kubahatika kutembelewa na Bwana wetu Yesu Kristo nyumbani kwake.

Karibuni tujifunze
 
Biblia ingeeleza mambo yote hayo kwa Kila muhusika sidhani kama tungeimaliza kusoma🤔

Nadhani mambo yalikuwa ya umuhimu zaidi ndiyo yaliyo andikwa
 
Back
Top Bottom