U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Jul 13, 2024 #1 Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Wenye elimu mtuelimishe zaidi kuhusu ndugu yetu huyo aliyepata umaarufu baada ya kubahatika kutembelewa na Bwana wetu Yesu Kristo nyumbani kwake. Karibuni tujifunze
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Wenye elimu mtuelimishe zaidi kuhusu ndugu yetu huyo aliyepata umaarufu baada ya kubahatika kutembelewa na Bwana wetu Yesu Kristo nyumbani kwake. Karibuni tujifunze
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jul 13, 2024 #2 Unaambiwa ni mluguru.....
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,152 Reaction score 33,899 Jul 13, 2024 #3 Zakayo ako Kenya aka Ruto
Miguel Alvarez JF-Expert Member Joined May 28, 2019 Posts 2,856 Reaction score 5,430 Jul 13, 2024 #4 Biblia ingeeleza mambo yote hayo kwa Kila muhusika sidhani kama tungeimaliza kusoma🤔 Nadhani mambo yalikuwa ya umuhimu zaidi ndiyo yaliyo andikwa
Biblia ingeeleza mambo yote hayo kwa Kila muhusika sidhani kama tungeimaliza kusoma🤔 Nadhani mambo yalikuwa ya umuhimu zaidi ndiyo yaliyo andikwa
James Hadley Chase JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 1,984 Reaction score 3,695 Jul 13, 2024 #5 ras jeff kapita said: Zakayo ako Kenya aka Ruto Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
Witch hunter JF-Expert Member Joined Nov 21, 2018 Posts 2,106 Reaction score 5,806 Jul 13, 2024 #6 Kabila halijulikani ila alikuwa mbilikimo mwenye wake wawili na watoto 7. (Bila shaka alikuwa myahudi) Soma tena Matendo 17:83
Kabila halijulikani ila alikuwa mbilikimo mwenye wake wawili na watoto 7. (Bila shaka alikuwa myahudi) Soma tena Matendo 17:83
U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Jul 13, 2024 Thread starter #7 Witch hunter said: Kabila halijulikani ila alikuwa mbilikimo mwenye wake wawili na watoto 7. (Bila shaka alikuwa myahudi) Soma tena Matendo 17:83 Click to expand... Hilo fungu matendo 27:83 halipo Kwa Biblia
Witch hunter said: Kabila halijulikani ila alikuwa mbilikimo mwenye wake wawili na watoto 7. (Bila shaka alikuwa myahudi) Soma tena Matendo 17:83 Click to expand... Hilo fungu matendo 27:83 halipo Kwa Biblia
Witch hunter JF-Expert Member Joined Nov 21, 2018 Posts 2,106 Reaction score 5,806 Jul 13, 2024 #8 Uzalendo wa Kitanzania said: Hilo fungu matendo 27:83 halipo Kwa Biblia Click to expand... I mean Matendo 27:38
Uzalendo wa Kitanzania said: Hilo fungu matendo 27:83 halipo Kwa Biblia Click to expand... I mean Matendo 27:38
U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Jul 13, 2024 Thread starter #9 Witch hunter said: I mean Matendo 27:38 Click to expand... Hata hilo fungu haihusiani na mada iliyopo mezani
Witch hunter said: I mean Matendo 27:38 Click to expand... Hata hilo fungu haihusiani na mada iliyopo mezani