Je, Zanzibar ni Sauzi?

Nyie Vichogo wa Bara hivi tuwaeleze vipi kuwa hatutaki mazoea na ninyi?

Hata Dada zetu hatutaki muwaoe, Nyie hamuachi Ukafiri wa kula kitimoto
Hahaaa.., Dini hamna mnafanya mila hili wengi wenu litawatia motoni kuanzia wazee wenu mpk vitukuu.
Kama mjafuata dini mnayoiamini basi tafuteni namna yakwenda kumjibu Allah.
 
Kuna maswali mengi yameulizwa na wasiwasi kutokana na stori fupi niliyoandika. Nitatafuta ushahidi ili nije nao. Lakini pia nashukuru kwa kunipa changamoto zitanisaidia kupata ushahidi mbalimbali.

Kuna watu wanahisi ni chuki za kidini au kisiasa la... Tusubiri nimeona maoni yenu nitayafanyia kazi.

Kuna mtu eti amesema wanatunyima dada zao, ndio mwaka huu January walinitosa japo dada yao alinipenda.

Hifadhi hii post kaka au dada, nitakuja harharani Mungu akipenda.
 
Mimi nilishaacha kununua vitu kwenye duka la waZanzibar. Kila nikisoma taarifa za huko nakuta ubaguzi mwingi na sisi tuishi kama wao.
 
Nyie Vichogo wa Bara hivi tuwaeleze vipi kuwa hatutaki mazoea na ninyi?

Hata Dada zetu hatutaki muwaoe, Nyie hamuachi Ukafiri wa kula kitimoto
"Vichogo wa bara" umejumuisha watu wote wanaoishi bara bila ya kubagua dini. unajua kuwa kuna waislamu wanaishi bara? Sasa kukataa dadako asiolewe na muislamu wa bara labda unatumia dalili ipi ya kidini kukataza hilo? Ungeniwekea aya moja tu au hata hadith inayosapoti msimamo wenu .
 
Kuna mywa urojo mmoja huku nilicho mfanya hatasahau hadi siku anakufa japokua sio kitu kizuri lakini nilifurahia kulipiza kisasi kwa madhira wanayo wapa ndugu zetu
 
Kuna mywa urojo mmoja huku nilicho mfanya hatasahau hadi siku anakufa japokua sio kitu kizuri lakini nilifurahia kulipiza kisasi kwa madhira wanayo wapa ndugu zetu
Yani hapo ww ndo unakua na hatia
Lakini unajiona mjanja.....

Haya mambo yanapaswa kukoma lakin ww ndo unazidisha moto.....

Kibaya zaidi umemhukumu ambae hajakufanya lolote......

Watakuja wazanzibari na wao wakuite ww ni dhuluma

Hapo unakua hujajenga, umebomoa

"Ni bora kujenga daraja kuliko ukuta"
Ref: Mrisho Mpoto
 
Sheria gani ya kipuuzi hiyo, siku 3 mtu anakosa huduma ya afya. 😳😳

MKuu Zanzibar huduma ya Afya ni Bure 100% kwa wakaazi, kwenye vituo vya serikali. Ukiwa bado hujafikia mda wa kupata haki zote za ukaazi unatakiwa uchangie. Sasa mtu anapotaka kitonga alafu analilia lia ili iweje?
 
Kuna mywa urojo mmoja huku nilicho mfanya hatasahau hadi siku anakufa japokua sio kitu kizuri lakini nilifurahia kulipiza kisasi kwa madhira wanayo wapa ndugu zetu

umemfanyia nini mkuu?
 
Sijali na wala sitojali upumbavu wao uishie kwao wakivuka maji wajue huku sio kwao wakiingia kwenye mfumo tunasema nao kama walivyo kuja
 
Ndio maana w
MKuu Zanzibar huduma ya Afya ni Bure 100% kwa wakaazi, kwenye vituo vya serikali. Ukiwa bado hujafikia mda wa kupata haki zote za ukaazi unatakiwa uchangie. Sasa mtu anapotaka kitonga alafu analilia lia ili iweje?
Ndio maana wazanzibar wanataka kitongoji chao, kumbe wenzetu huduma ya afya ni bure kwa 100% hongera na pongezi kwao.
 
Kafiri mapembe , Azarel, amesilimu ?? na amekuwa Mzanzibari kuanzia lini ??
 
Nyie Vichogo wa Bara hivi tuwaeleze vipi kuwa hatutaki mazoea na ninyi?

Hata Dada zetu hatutaki muwaoe, Nyie hamuachi Ukafiri wa kula kitimoto
Baada ya kuwa kwenye dini ya mwaarabu unajiona mjanja.😁😁😁😁😁
Kama unajeuri choma vitu vyote vya ndani kwako vilivyotengenezwa na makafiri. Utajikuta umebakiwa na
1. Kanzu
2. Maji ya zamzam
3. Quran
4. Mkojo wa ngamia
5. Tende
Hadi hiyo simu unayotumia utaichoma moto. Hapo ulipo unatumia simu iliyotengenezwa na makafiri, Jamii forum, X, Facebook, Telegram hadi Whatsapp zimetengenezwa na makafiri. Elimu na mtaala ni wa makafiri, mfumo wa uongozi ni makafiri. Hela ni za makafiri
Kitu nilichogundua ni kwamba Uislamu ni ujinga
 
Bomoa na tingatinga kama mzee wa chuga ingependeza zaidi.
 
Kuna mywa urojo mmoja huku nilicho mfanya hatasahau hadi siku anakufa japokua sio kitu kizuri lakini nilifurahia kulipiza kisasi kwa madhira wanayo wapa ndugu zetu
'Madhira' gani hayo awayopewa ndugu zako? Na wewe unaamini maneno ya mtandaoni!!? Hivi Zanzibar kungekuwa na hayo the so called 'madhira' unafkiri wangeendelea kuja? Kwanza Zanzibar saivi hasa wazanzibari wanahesabika, tena karibu tu wageni watakuwa wengi kuwazidi wenyeji FYI
 
mtu akikutendea wema mlipe wema.
akikutendea ubaya shughulika naye huyohuyo. tuache generalisation fallacy. mie nishaacha hayo. siwezi kumfanyia ubaya mzanzibar maadamu hajanifanyia ubaya au mtu yoyote yule kisa utofauti wa kabila imani au rangi au hali za kimaisha.

mie zamani nilikua nachukia waarabu. lakini ajabu huku nafanya kazi uarabuni nimekua na marafiki waarabu na tunapanga mipango na jamaa wamenisaidia sana kama washkaji. tofauti na nilivyotegemea mwanzo nilienda na akili zangu. lakini haimaanishi wabaya hawapo, wapo pia.
 
Watanganyika waliofika kwenye kale kakisiwa hasa ambao waliishi changanyikeni ndio wanajua upumbavu wa wale watu na jinsi walivyo kua wabaguzi lakini kwakua wewe ni mmoja wao unaona ni sawa tuu, sasa na sisi tutaendelea kusema nao tuu jino kwa jino alieua auwawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…