Je, Zanzibar ni Sauzi?

Je, Zanzibar ni Sauzi?

Mwaka uliopita, Mama yangu alinihadithia kuhusu jambo liliomtokea Mjomba wangu.

Ni hivi wadau, Mjomba wangu alioa mwanamke wa zanzibar nae alikuwa anafanya kazi huko na akajenga nyumba pia na akapata bahati ya kupata watoto wawili kwa sas wapo elimu ya sekondari.

Baada ya muda kutokana na visa vya mwanamke huyo mjomba alikuwa akimueleza kwamba ukiendelea na hivi visa, nitakuacha.

Lakini jibu la wanamke alikuwa anamwambia mjomba kwamba utaondoka wewe hapa.

Baada ya muda waliachana kweli.

Mchakato ukanzia hapa.

Yule mke wake akaanza kwenda katika Mahakama na kwa Kadhi na baadae sheria ikasema ikiwa wewe ni kutoka bara ukajenga kule basi hauna haki ya umiliki wa nyumba kwa kuwa umezaa nae. Je, hizi sheria ndivyo zilivyo au kuna magumashi yamefanyika?

Na kama ndivyo hivi, hii nchi inafanya mambo tofauti bara na visiwani.

Mjomba alisarenda na kwenda kuishi kwa rafiki zake baada ya kutolewa na serikali ya huko.😥😥😥😥😡😕
Ebu tumtafutie wanasheria kutoka bara
 
Nyie Vichogo wa Bara hivi tuwaeleze vipi kuwa hatutaki mazoea na ninyi?

Hata Dada zetu hatutaki muwaoe, Nyie hamuachi Ukafiri wa kula kitimoto
Kwani anaewataka nyie mbwa msiokua na visogo ni nani 🤔 unaona ukafiri ni kula ngurue na wakati mashoga mmejazana kila mtaa 🤔 nyie ndio makafiri mashetani kabisa mikosi mitupu
 
Mnakuja tu Zanzibar na Ushamba wenu, ndio maana mnakuja kutumikishwa kazi ngumu huku kama watumwa nyie Makafiri wenye vichogo
 
Nyie Vichogo wa Bara hivi tuwaeleze vipi kuwa hatutaki mazoea na ninyi?

Hata Dada zetu hatutaki muwaoe, Nyie hamuachi Ukafiri wa kula kitimoto
Na dini yenu ya mnyaaazi mungu, suguhana uwatahala Azarel
 
Mnakuja tu Zanzibar na Ushamba wenu, ndio maana mnakuja kutumikishwa kazi ngumu huku kama watumwa nyie Makafiri wenye vichogo
Watanganyika wanafanya kazi ngumu kwa sababu wako timamu nyie mkipiga hata chafya kisamvu kina mwagika mtawezaje kazi ngumu 🤔 umaskini umewajaa kuanzia nywele hadi kucha alafu unapata jeuri ya kuwaita watu watumwa 🤔 mna nini mbwa nyie shenzi kabisa 🤔Unaweza kuchekesha maiti
 
Watanganyika waliofika kwenye kale kakisiwa hasa ambao waliishi changanyikeni ndio wanajua upumbavu wa wale watu na jinsi walivyo kua wabaguzi lakini kwakua wewe ni mmoja wao unaona ni sawa tuu, sasa na sisi tutaendelea kusema nao tuu jino kwa jino alieua auwawe
Mie si nawaona wapo wengi tu, tupo nao mpk job hapa wala hakuna shida yyt. Hivi km mtu mmoja akiwa mwizi au muuaji kwa kuwa katoka kabila fulani ndio utawahukumu watu wa kabila hilo wote kuwa ni wauwaji au wezi? Tabia haina kabila rafiki. Acheni kulishana kasumba wakati wenzenu wengi tu wapo zenji wanajitafutia riziki pasi na bughudha. Na wengine wanaendelea kuja kwa kuwa wanapewa salamu kuwa kupo salama
 
Wa

Je, waliokuwa huko na huku wapi wengi?!
 
mtu akikutendea wema mlipe wema.
akikutendea ubaya shughulika naye huyohuyo. tuache generalisation fallacy. mie nishaacha hayo. siwezi kumfanyia ubaya mzanzibar maadamu hajanifanyia ubaya au mtu yoyote yule kisa utofauti wa kabila imani au rangi au hali za kimaisha.

mie zamani nilikua nachukia waarabu. lakini ajabu huku nafanya kazi uarabuni nimekua na marafiki waarabu na tunapanga mipango na jamaa wamenisaidia sana kama washkaji. tofauti na nilivyotegemea mwanzo nilienda na akili zangu. lakini haimaanishi wabaya hawapo, wapo pia.

kujazana chuki ni jambo baya sana, unaweza mchukia mtu ambae ni mwema kwako kabisa
 
Mwaka uliopita, Mama yangu alinihadithia kuhusu jambo liliomtokea Mjomba wangu.

Ni hivi wadau, Mjomba wangu alioa mwanamke wa zanzibar nae alikuwa anafanya kazi huko na akajenga nyumba pia na akapata bahati ya kupata watoto wawili kwa sas wapo elimu ya sekondari.

Baada ya muda kutokana na visa vya mwanamke huyo mjomba alikuwa akimueleza kwamba ukiendelea na hivi visa, nitakuacha.

Lakini jibu la wanamke alikuwa anamwambia mjomba kwamba utaondoka wewe hapa.

Baada ya muda waliachana kweli.

Mchakato ukanzia hapa.

Yule mke wake akaanza kwenda katika Mahakama na kwa Kadhi na baadae sheria ikasema ikiwa wewe ni kutoka bara ukajenga kule basi hauna haki ya umiliki wa nyumba kwa kuwa umezaa nae. Je, hizi sheria ndivyo zilivyo au kuna magumashi yamefanyika?

Na kama ndivyo hivi, hii nchi inafanya mambo tofauti bara na visiwani.

Mjomba alisarenda na kwenda kuishi kwa rafiki zake baada ya kutolewa na serikali ya huko.😥😥😥😥😡😕
Uongo, tena chai mcchana jua kali
 
mtu akikutendea wema mlipe wema.
akikutendea ubaya shughulika naye huyohuyo. tuache generalisation fallacy. mie nishaacha hayo. siwezi kumfanyia ubaya mzanzibar maadamu hajanifanyia ubaya au mtu yoyote yule kisa utofauti wa kabila imani au rangi au hali za kimaisha.

mie zamani nilikua nachukia waarabu. lakini ajabu huku nafanya kazi uarabuni nimekua na marafiki waarabu na tunapanga mipango na jamaa wamenisaidia sana kama washkaji. tofauti na nilivyotegemea mwanzo nilienda na akili zangu. lakini haimaanishi wabaya hawapo, wapo pia.
Kuna bàdhi ya watu wanakua na chuki za asili kwa waarabu na waislam, Na wazanzibar. Kuna maneno meng ya kashfa mnawatuhum wazanzbr kama vile upand wa bara hakuna. Binafsi nmeishi bara mikoa tofaut na chuki nilizokutana nazo kwa baadh ya watu hazielezeki, lkn sijawalaum wabara wote kwasbb nilijua wale jamaa ni wajinga wasiojielew.
Saiz mitandaon kuna meng sana ukiskilix ya mitandaon utaanza kuchukia baadh ya wat kumbe uhalisia ni tofaut. Jaman, kama ni wabaya, wahuni, makatili, wabaguzi, hizo aina za watu wapo kila sehem usihukum waty wote kwa tabia za wahache au kwa taarif xa kuskia.
 
Mwaka uliopita, Mama yangu alinihadithia kuhusu jambo liliomtokea Mjomba wangu.

Ni hivi wadau, Mjomba wangu alioa mwanamke wa zanzibar nae alikuwa anafanya kazi huko na akajenga nyumba pia na akapata bahati ya kupata watoto wawili kwa sas wapo elimu ya sekondari.

Baada ya muda kutokana na visa vya mwanamke huyo mjomba alikuwa akimueleza kwamba ukiendelea na hivi visa, nitakuacha.

Lakini jibu la wanamke alikuwa anamwambia mjomba kwamba utaondoka wewe hapa.

Baada ya muda waliachana kweli.

Mchakato ukanzia hapa.

Yule mke wake akaanza kwenda katika Mahakama na kwa Kadhi na baadae sheria ikasema ikiwa wewe ni kutoka bara ukajenga kule basi hauna haki ya umiliki wa nyumba kwa kuwa umezaa nae. Je, hizi sheria ndivyo zilivyo au kuna magumashi yamefanyika?

Na kama ndivyo hivi, hii nchi inafanya mambo tofauti bara na visiwani.

Mjomba alisarenda na kwenda kuishi kwa rafiki zake baada ya kutolewa na serikali ya huko.😥😥😥😥😡😕
Wewe nenda kanunue TV,au FRIJI zanzibar uone
 
Wa

Je, waliokuwa huko na huku wapi wengi?!
Zanzibar wabongo wengi sn. Mahotelini asilimia zaidi ya 90 wafanyakazi ni from mainland. Mbali na kazi nyengine kama za majumbani, mafundi ushoni, wauza matunda na wauza maduka ya watalii stone Town. N.k
Watu tunaishi vizuri sana, ukiskiza story ya mtu mmoja au story za mitandaoni na ukija ukaiona Zanzibar yenyewe utashangaa ni vitu viwili tofauti.
Kuna watu wanapenda kueneza chuki sijui wanafaidika nini
 
Back
Top Bottom