Je, ziara nyingi za Rais ni mbinu za Mafisadi?

Je, ziara nyingi za Rais ni mbinu za Mafisadi?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Nimesikia habari za ndani kwamba kwa makusudi mafisadi na watu wenye nia mbaya wanataka kumweza Raisi na ratiba zake nje ya ofisi ili asigindue ufisadi unao endelea.

Hii ni kuanzia malalamiko ya maandishi, mikataba mibovu na kuhusu majadiliano na upinzani.

Kama ni kweli watu wenye nia nzuri wawe makini hasa makamu wa Raisi ambaye amekuwa mkimwa sana!
 
Ndivyo ilivyo...

Huyu mama ni yupo kama hayupo tu...

Na ndiyo udhaifu wa mwananmke ulipo..

Ni ngumu sana kuwa na kiongozi mwanamke kwenye taifa la dunia ya tatu kama Tanzania...
 
Hili amelisema John Heche kule twita mkuu ,washa tambua anapenda Sana safiri ndio maana aliitwa Vasco Da Gama

*Safari sio kifo *
 
Back
Top Bottom