Je, zile Hasira zake za jana zinaenda pia na kwa Watu wake hasa wa CCMVU na MK Ima au ni kwa Sisi Watesi, Wamarekani na Wapinzani?

Je, zile Hasira zake za jana zinaenda pia na kwa Watu wake hasa wa CCMVU na MK Ima au ni kwa Sisi Watesi, Wamarekani na Wapinzani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nitashukuru kama nikijibiwa juu ya hili kwani najua kuwa hata Watu wa Chamani Kwake nao walipaza sana Sauti zao.
 
Hawezi kumaliza huu mwezi bila kwenda kuombaomba kwa hao anaotaka wasituingilie, sasa sijui pesa zao wanazitaka za nini?

Hiyo Royal tour yake anategemea Wakojani ndio waje kutalii kuleta madolali?

Ukweli utabaki kuwa ukweli, sisi ndio tunawahitaji wazungu kuliko wao wanavyotuhitaji.
 
CWT,UVCCM Watabisha
 
CWT,UVCCM Watabisha
Ameshalikoroga hala eti ndio wanaedit statement ya mawasiliano ikulu, yani wanajitekenya wenyewe.

Editing huwa inafanywa kabla ya speech, siyo unakoroga vitu vipo Youtube halafu unaleta statement ya kubadili maudhui, haya maccm ni majinga sana.

Mpaka dakika ilitakiwa muandishi wake wa speech awe amefutwa kazi.
 
Back
Top Bottom