Hawezi kumaliza huu mwezi bila kwenda kuombaomba kwa hao anaotaka wasituingilie, sasa sijui pesa zao wanazitaka za nini?
Hiyo Royal tour yake anategemea Wakojani ndio waje kutalii kuleta madolali?
Ukweli utabaki kuwa ukweli, sisi ndio tunawahitaji wazungu kuliko wao wanavyotuhitaji.