Je, Zitto Kabwe alipotosha kuhusu operesheni ya kummaliza (SAI)?

ZZK unamchukulia poa?uliza idarani mdogo wake ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
mtafanya huyo anayehusiana na zito idarani auwawe acheni kuexpoz watu kazi za idara sio za kuzichukulia kirahisi hivyo

wakimspot huyo unaemuita mdogo wake zito wanammaliza mchana kweupeeeee unamkumbuka teti wa kisimani?
 
Hiyo point ya pili ina mantiki kiasi fulani, if that is the case, tunasafari ndefu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi operations huwa na levels
1. HPT 1
2 HPT 2
3. HPFT3 na kuendelea
Kirefu chake ni high profile target..... Sasa hizo targets pamoja na kuwa HP lakini zinawekwa kwenye category ya umuhimu... Who should go first... And what is the target and impact!

Jr[emoji769]
 
Zitto ni chombo cha kuchezea akili za watz na nichombo cha kuvuruga upinzani. He is in th payroll. Usipoteze muda kwa kufuatilia fake news za Zitto. Mwenzako yuko kazini. Dont take him seriouslly.
 
Hakuna uongo yote alioyabanisha zzk in ukweli. mlitaka aanike kila kitu wahusika wameshajua kuwa wamejulikana.lazima wapangulue mpango waanze upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…