Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Nimeshangazwa sana na Zitto kutoa tamko la kuwa Rais atagharamia matibabu ya Sativa, swali ni je Zitto amekuwa lini msemaji wa Ikulu? Pia ametuandikia kuwa mazingira yanaenda kuwa sawa, taarifa zote alizotoa kuonesha kuwa yeye anamsemea Rais. Hii ni mara ya pili Zitto anajaribu kujionesha kuwa na ukaribu na Ikulu.
Aidha, Zitto Kabwe kwenye kauli yake amesaini kuwa ni kiongozi mstaafu wa ACT, sasa inakuwaje mstaafu anatumia logo na identity ya chama. Imagine mstaafu wa TAKUKURU anasaini barua kwa headed letter ya TAKUKURU, Sio kama tutamuona ni mzuaji wa Taharuki.
Zitto is the learned brother lakini statement yake ina makosa mengi ya kitaalamu na kiitifaki