Pre GE2025 Je, Zitto ni Msemaji wa Ikulu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimeshangazwa sana na Zitto kutoa tamko la kuwa Rais atagharamia matibabu ya Sativa, swali ni je Zitto amekuwa lini msemaji wa Ikulu? Pia ametuandikia kuwa mazingira yanaenda kuwa sawa, taarifa zote alizotoa kuonesha kuwa yeye anamsemea Rais. Hii ni mara ya pili Zitto anajaribu kujionesha kuwa na ukaribu na Ikulu.

Aidha, Zitto Kabwe kwenye kauli yake amesaini kuwa ni kiongozi mstaafu wa ACT, sasa inakuwaje mstaafu anatumia logo na identity ya chama. Imagine mstaafu wa TAKUKURU anasaini barua kwa headed letter ya TAKUKURU, Sio kama tutamuona ni mzuaji wa Taharuki.

Zitto is the learned brother lakini statement yake ina makosa mengi ya kitaalamu na kiitifaki
HUYU NI CCM ACHA KUSHANGAA
 
Ni vyema pia tukamsamehe Mzee Zito. Ule ugonjwa amekaa nao muda mrefu sana tange enzi za akina Amina Chifupa!!

Huenda issue imeshagonga ubongo
Mbona wengi wako na hiyo hali ila hawapo kama yeye..

Nadhani anaongozwa zaidi na maslahi binafsi
 
Naona hutaki Dini yetu iguswe hata kama ndo inatumika Kwa Sasa!!

Uzuri wenu ni kwamba mnashikamana sana Kwa matendo ya mfuasi wa Mtume
Tumia akili japo kidogo tu,
Mfano huyo Sativa anayelipiwa hayo matibabu,sio Muislamu,

Sio kila Uzi unakuta mtu anaingiza udini kwa chuki zake tu za kijinga.
 
This man lost his credibility and relevancy. Anapata like 2 au 3 kwenye kurasa zake za fb. Huyu ni mtu ambae tulikuwa tukisikia ana press conference tunakaa macho. Kweli muda ni hakimu.
 
Wapumbavu wengi humu wanachuki za kidini kuliko kawaida.

Mambo ya kawaida tu mshaingiza udini, na chuki zenu ni kubwa mno

Kwani Mchungaji Msigwa ni muislamu? Mbona kaunga mkono juhudi?

Wanasiasa wote wapo kwa ajili ya maslahi yao, akipata kulamba asali lazima kama ZZK kwa sasa
 
Kweli kabisa ndugu yangu, wanadhani Ile enzi ya Padre Magufuli ambapo kwenye teuzi zake hakuna popote Waislamu walifikia hata 10%.
NB; Mke wa Majaliwa husali na mke wa Magufuli St Peter Kila jumapili (soma between the lines)
 
Zitto ameathiriwa na dini yake ,yaani akiona Hamis na Asha yupo tayari kutetea

Naikumbuka ile msg ya udini aliyomtumia Halima Mdee wakati akiwa CHADEMA, aliposema kuwa Mdee anatakiwa kushirikiana na yeye Zito dhidi ya Mbowe kwa vile yeye Halima Mdee ni muislam mwenzake, Mdee akaamua kuipeleka msg kamati kuu.

Kiongozi ukiwa unatenda mambo kwa mtizamo wa ubaguzi wa kidini unue umefeli. Nchi yetu ni ya mchanganyiko mkubwa wa kiimani, hakuna anayeweza kuyachukua madaraka kwa kuitegemea dini yake.
 
No,
Nimeshangazwa sana na Zitto kutoa tamko la kuwa Rais atagharamia matibabu ya Sativa, swali ni je Zitto amekuwa lini msemaji wa Ikulu? Pia ametuandikia kuwa mazingira yanaenda kuwa sawa, taarifa zote alizotoa kuonesha kuwa yeye anamsemea Rais. Hii ni mara ya pili Zitto anajaribu kujionesha kuwa na ukaribu na Ikulu.

Aidha, Zitto Kabwe kwenye kauli yake amesaini kuwa ni kiongozi mstaafu wa ACT, sasa inakuwaje mstaafu anatumia logo na identity ya chama. Imagine mstaafu wa TAKUKURU anasaini barua kwa headed letter ya TAKUKURU, Sio kama tutamuona ni mzuaji wa Taharuki.

Zitto is the learned brother lakini statement yake ina makosa mengi ya kitaalamu na kiitifaki
Ni Msemaji wa mama
 
Kwani Mdee na yeye sianakwenda ACT?
 
Ni kichekesho sana. la wabongo kwa sababu sisi ni nyumbu hatuwezi kuona huu usanii wa Zitto.
 
Ikulu imeona aibu kujitokeza yenyewe direct , ikajificha nyuma ya mgongo wa zitto kabwe .
Inawezekana kabisa. Zitto anatumika kuzima haya mambo. la bado tuko pale pale. Zitto ni mdini na mnafiki na mbinafsi. Hata sura yake imekaa kama vile vibabu vyenye inda na hila za majungu.
 
Nimeshangazwa sana na Zitto kutoa tamko la kuwa Rais atagharamia matibabu ya Sativa, swali ni je Zitto amekuwa lini msemaji wa Ikulu? Pia ametuandikia kuwa mazingira yanaenda kuwa sawa, taarifa zote alizotoa kuonesha kuwa yeye anamsemea Rais. Hii ni mara ya pili Zitto anajaribu kujionesha kuwa na ukaribu na Ikulu.

Aidha, Zitto Kabwe kwenye kauli yake amesaini kuwa ni kiongozi mstaafu wa ACT, sasa inakuwaje mstaafu anatumia logo na identity ya chama. Imagine mstaafu wa TAKUKURU anasaini barua kwa headed letter ya TAKUKURU, Sio kama tutamuona ni mzuaji wa Taharuki.

Zitto is the learned brother lakini statement yake ina makosa mengi ya kitaalamu na kiitifaki
Zitto ni msemaji wa ccm nje ya ccm
 
Huenda Msoga nayo bado inasaini baadhi ya nyaraka za Magogoni
 
Anatafuta jinsi ya kutoka, Zitto ni mnafiki sana
 
Back
Top Bottom