Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Endelea kushangaa itakusaidia!!Nimeshangazwa sana
Zito msalitiNimeshangazwa sana na Zitto kutoa tamko la kuwa Rais atagharamia matibabu ya Sativa, swali ni je Zitto amekuwa lini msemaji wa Ikulu? Pia ametuandikia kuwa mazingira yanaenda kuwa sawa, taarifa zote alizotoa kuonesha kuwa yeye anamsemea Rais. Hii ni mara ya pili Zitto anajaribu kujionesha kuwa na ukaribu na Ikulu.
Aidha, Zitto Kabwe kwenye kauli yake amesaini kuwa ni kiongozi mstaafu wa ACT, sasa inakuwaje mstaafu anatumia logo na identity ya chama. Imagine mstaafu wa TAKUKURU anasaini barua kwa headed letter ya TAKUKURU, Sio kama tutamuona ni mzuaji wa Taharuki.
Zitto is the learned brother lakini statement yake ina makosa mengi ya kitaalamu na kiitifaki
Comment zako nyingi hapa JF zimejaa upumbavu uliopitiliza hata kwenye vitu serious,kwa sasa udini ndio kipaumbele kwa mama
Nami nilijiuliza hili swali kajamaa kanafiki sana.Nimeshangazwa sana na Zitto kutoa tamko la kuwa Rais atagharamia matibabu ya Sativa, swali ni je Zitto amekuwa lini msemaji wa Ikulu? Pia ametuandikia kuwa mazingira yanaenda kuwa sawa, taarifa zote alizotoa kuonesha kuwa yeye anamsemea Rais. Hii ni mara ya pili Zitto anajaribu kujionesha kuwa na ukaribu na Ikulu.
Aidha, Zitto Kabwe kwenye kauli yake amesaini kuwa ni kiongozi mstaafu wa ACT, sasa inakuwaje mstaafu anatumia logo na identity ya chama. Imagine mstaafu wa TAKUKURU anasaini barua kwa headed letter ya TAKUKURU, Sio kama tutamuona ni mzuaji wa Taharuki.
Zitto is the learned brother lakini statement yake ina makosa mengi ya kitaalamu na kiitifaki
sasa zimejaa nini unaona kabisa AU WATU WASIKWAMBIE UKWELI WEWE JANABAComment zako nyingi hapa JF zimejaa upumbavu uliopitiliza hata kwenye vitu serious,
Sio lazima kuchangia,piga kimya ili kuficha ujinga wako.
Ndugu zetu katika Imani huteteana katika jambo lolote!!Nimeshangazwa sana na Zitto kutoa tamko la kuwa Rais atagharamia matibabu ya Sativa, swali ni je Zitto amekuwa lini msemaji wa Ikulu? Pia ametuandikia kuwa mazingira yanaenda kuwa sawa, taarifa zote alizotoa kuonesha kuwa yeye anamsemea Rais. Hii ni mara ya pili Zitto anajaribu kujionesha kuwa na ukaribu na Ikulu.
Aidha, Zitto Kabwe kwenye kauli yake amesaini kuwa ni kiongozi mstaafu wa ACT, sasa inakuwaje mstaafu anatumia logo na identity ya chama. Imagine mstaafu wa TAKUKURU anasaini barua kwa headed letter ya TAKUKURU, Sio kama tutamuona ni mzuaji wa Taharuki.
Zitto is the learned brother lakini statement yake ina makosa mengi ya kitaalamu na kiitifaki
Naona hutaki Dini yetu iguswe hata kama ndo inatumika Kwa Sasa!!Comment zako nyingi hapa JF zimejaa upumbavu uliopitiliza hata kwenye vitu serious,
Sio lazima kuchangia,piga kimya ili kuficha ujinga wako.
Ni vyema pia tukamsamehe Mzee Zito. Ule ugonjwa amekaa nao muda mrefu sana tange enzi za akina Amina Chifupa!!Zitto ni opportunist kitambo japo pia ni mdini mno.
Iwapo Mama Samia ataendelea kutawala hadi 2030 hutasikia Zitto akijihusisha na Ukosoaji.
Mathalani, tangu Samia achukue hatamu Mwezi Machi, 2021 mmemsikia Zitto akihoji kuhusu ubadhirifu ama Kukosoa kuhusu Sera ya Serikali kujiendesha Kwa Kukopa.
Huyo ndiyo Zitto sasa 🙌
Upinzani hamna bongo,njaa tupu Doto Magari anasema mwenye njaa hana kiapo.Nimeshangazwa sana na Zitto kutoa tamko la kuwa Rais atagharamia matibabu ya Sativa, swali ni je Zitto amekuwa lini msemaji wa Ikulu? Pia ametuandikia kuwa mazingira yanaenda kuwa sawa, taarifa zote alizotoa kuonesha kuwa yeye anamsemea Rais. Hii ni mara ya pili Zitto anajaribu kujionesha kuwa na ukaribu na Ikulu.