sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ni takribanai wiki 2 kasoro tangu video ya Kiba itolewe lakini tumeshangazwa kuona mfalme (kama ajiitavyo) katoa kaze 2 mfululizo (jealous & ndomboloo) ila kashindwa kutetea kwa vitendo kiti chake walau kwa kushika namba 1 kwenye trending videos za youtube, Ni ajabu na wengi wamebaki vinywa wazi maana haijazoeeka, Tumezoea akitoa ngoma basi ni kawaida kukaa kwenye kiti hicho walau kwa wiki ila kwa sasa imekuwa shughuli pevu kukaa pale juu hata kwa nusu saa.
Sababu kuu ni hizi
1. Ngoma aliitoa kibifu / kikomoaji zaidi
historia iliwahi kumpendelea kiba pale Diamond alipotoa ngoma ya "zilipendwa" muda mfupi baada ya Kiba kutoa "Seduce me", Mondi nahisi hatakuja kusahau lile fundisho kwa sababu Ali kiba alijizolea maksi nyingi sana na ile seduce me ikapata umaarufu mkubwa mno, somo likiwa ni kwamba usitoe ngoma kibifu ama kumkomoa mwenzako ambaye katoka kutoa ngoma kwenye level hasa akiwa ni staa mkubwa,
Na sasa historia inajirudia Ali kiba katoa ngoma kibifu zaidi ama kukukomoa flani hivi, kaona staa mwenzake katoa ngoma nae fasta fasta katoa, hakika anavuna alchopanda!!, Matokeo yake ndio kama tunavyoona somo linavyoendelea huko youtube, ngoma imekuwa imedoda yani, si kwa hadhi aliyonayo Kiba, na kwa sasa inashuka kwa spidi ya radi katika orodha ya trending videos huko youtube, kwa sasa ni ya 7 huko, Ni heri angesubiri wiki baada ya Diamond alivyotoa mkwaju wake ndio atoe ngoma.
2.Kulipia views
Youtube huwa wanazipa uzito views ambazo ni "Organic" na sio zile "Inorganic", kwa maelezo mepesi Organic views hizi hutegemea zaidi fanbase yako, yaani mashabiki wako weyewe wanaingia kucheki video yako ila inorganic views hizi ni views unapata kwa kulipia, lengo ni kufifikia hadhara kubwa zaidi hususani wasio wamshabiki.
Ali kiba kwa sasa kaanza kulipia ili video yake ifikie watu wengi zaidi, hapa ni kwamba analipa kwa facebook na instagram matangazo yale ya "sponsored" ili kupromote video yake, tangazo moja wapo ni kama hili hapa.
Mkumbuke ya kwamba haya ndio mambo ambayo Diamond alikuwa akiyafanya miaka ya 2015 huko na wasanii wenzake wengi walipotoshana huku ni kuiba views kumbe kijana alkuwa hatosheki na vi promo vya radio, tv, n.k alikuwa anatumia teknolojia kufika mbali zaidi kwa kupata mashabiki wapya na kupata shows nyingi nje ya nchi kwenyenchi ambazo hata hatujawahi kusikia kama Huko Mayotte,
pia kuna kulipia mpaka ads za youtube, Yani video inaingizwa kama tangazo katikati ya video zingine na wanapeleka kwenye nchi za mbali ili wabongo wasistukie.
Katika kutangaza video ili upate inorgani ciews lengo huwa ni kupata mashabiki wapya wa kudumu ila kuna njia nyeusi hutumika kwa malengo ya kupata views tu bila kujali kupata mashabiki mapya, kinacofanyika ni kulipia tangazo liwafikie watu wa nchi kama pakistani huko ambako gharama huwa inakuwa ni ndogo kwa matangazo na tangazo linafikia watu wengi mno maana hao wapiksatani na wahindi wapozaidi ya bilioni.
kama mnayojua watu wa huko pakistani na india kuna jopo la watu wengi wanaoshinda sana mitandaoni, nadhani wengi sio wageni wa fujo zao huko fb kwa zile video call zao, wao mda wote wapo online na internet kwao sio gharama, ni sawa na bure tu, sasa ukipeleka tangazo lako huko, views unapata fasta tu.
Mfano tangazo likifikia wapakistani milioni 5 basi milioni 3 wanawza kuicheki video youtube, na hii ndio mbinu ambayo huenda hata kina harmonize hapo wiki chache wamezitumia kujaza ma views ambayo yaliacha watu wengi vinywa wazi, hata msanii wake killy alipata views milioni 1 ndani ya siku 1 tu lakini video yake haikuwemo hata kwenye 10 bora za trending youtube