Jealous ya Ali Kiba yapata anguko kubwa licha ya views nyingi, sababu ni hizi

Toa ngoma kali kazi ya kucheza tuachie mashabiki...mbona akina wizkid hawachezi
 
Mbona vitu basic wabongo hamulewi?..sio Kila Ngoma yenye views wengi lazima iwe namba1 trending.
Ukiona Ngoma Ina views kibao ila haitrend ujue haitrend hapa bongo Na viewers wengi wanatokea nje ya nchi mf. Kenya,Uganda,Nigeria nk.
 
Kwamba wasanii wanalipwa kwamba trending au viewers..kila maji yanapowafika shingoni mnatafuta chochoro sheeenz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…