Jean Baleke aliionea huruma Yanga?! HBD

Jean Baleke aliionea huruma Yanga?! HBD

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
a67b34e68bbe409899cfc2948bfdb058_341545234_919971209255632_2222928573662749339_n.jpg


Pale Baleke sio wa kukosa magoli. Ile ilikuwa huruma kwa watoto wadogo kisoka. Alikuwa na kila hali ya kupiga hat trick zake. Hii kwa afya ya Uto isingekuwa sawa.

Happy Birthday Jean Jini Baleke
 
Jana ndiyo nilithibitisha kuwa huyu jamaa ni mzuri sana kwenye nafasi yake, anajua sana kukaa kwenye nafasi za kufunga na uwezo wa kukokota mpira anao pia.

Huyu anatakiwa abaki hapo Simba Sc, atafunga mno kama hatapata majeraha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani jana mchezaji yupo yeye na goli tu anakosa magoli halafu bado mnamsifia. Zile sio nafasi za kukosa
 
Nilisema nitampima Baleke kwa MICHEZO hii mi 4-5

1. Simba na yanga.
2. Simba na Azam.
3. Simba na wydad.
4 Wydad na Simba.

Niliahidi akifikisha goli 3.
Atakuwa Mfalme lakini sion DALILI.
 
Nilisema nitampima Baleke kwa MICHEZO hii mi 4-5

1. Simba na yanga.
2. Simba na Azam.
3. Simba na wydad.
4 Wydad na Simba.

Niliahidi akifikisha goli 3.
Atakuwa Mfalme lakini sion DALILI.
NI galasa tu huyu jamaa
 
Back
Top Bottom