Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa upande wa Jean Baleke ni kuwa anaidai Yanga kiasi cha dola 60,000 ambapo dola 30,000 signing fee na dola 30,000 nyingine ni gharama za kuvunja mkataba, kama Yanga hawatomlipa ana mpango wa kuwapeleka FIFA.
Dola 60,000 ni sawa na MILLION 155.
Hii timu kwa Madeni ni Kiboko, Sasa ni zamu ya Baleke kuwapeleka FIFA baada ya Baleke atakaefata ni Chama baada ya Chama atakua Ikanga
Uongozi wa utopolo ukubali kwenda kuwaomba uongozi wa Simba uwafundishe Jinsi ya kuingia mikataba na Kuvunja kwa Amani
Kama Fifa wasingekua na sheria kali la kushinikiza pesa zilipwe deni la Yanga Lingekua limeshalipita deni la taifa