Jean Baleke anasepa, Simba hawana striker msimu ujao

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Unaweza kucheza na Phiri kama CF lakini hana uwezo wa kukupa availability factor.

Onana sio mchezaji wa kumtegemea, naye majeruhi yatamuandama.

Kramo hawezi kicheza CF full season.

Bocco ndio tusimzungumzie.

Huwezi beba ubingwa wa Ligi kwa kucheza na False 9.

Yanga tujiandae na Parade lingine.
20230708_153540.jpg
 
Unaweza kucheza na Phiri kama CF lakini hana uwezo wa kukupa availability factor.

Onana sio mchezaji wa kumtegemea, naye majeruhi yatamuandama.

Kramo hawezi kicheza CF full season.

Bocco ndio tusimzungumzie.

Huwezi beba ubingwa wa Ligi kwa kucheza na False 9.

Yanga tujiandae na Parade lingine.View attachment 2682043
ahmed ally yupo

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kucheza na Phiri kama CF lakini hana uwezo wa kukupa availability factor.

Onana sio mchezaji wa kumtegemea, naye majeruhi yatamuandama.

Kramo hawezi kicheza CF full season.

Bocco ndio tusimzungumzie.

Huwezi beba ubingwa wa Ligi kwa kucheza na False 9.

Yanga tujiandae na Parade lingine.View attachment 2682043
Namchagua Phiri over Baleke siku na saa yoyote ile. Baleke ni mmaliziaji mzuri sana ila haweza kukaa au kukimbia na mpira. Akilifanyia kazi hilo eneo atakuwa bora zaidi. Hao wengine uliowataja ukiacha Bocco nadhani wivu na woga tu unakuandama.
 
Unaweza kucheza na Phiri kama CF lakini hana uwezo wa kukupa availability factor.

Onana sio mchezaji wa kumtegemea, naye majeruhi yatamuandama.

Kramo hawezi kicheza CF full season.

Bocco ndio tusimzungumzie.

Huwezi beba ubingwa wa Ligi kwa kucheza na False 9.

Yanga tujiandae na Parade lingine.View attachment 2682043
Hiyo ni picha ya zamani kabla hajajiunga na Simba
 
Unaweza kucheza na Phiri kama CF lakini hana uwezo wa kukupa availability factor.

Onana sio mchezaji wa kumtegemea, naye majeruhi yatamuandama.

Kramo hawezi kicheza CF full season.

Bocco ndio tusimzungumzie.

Huwezi beba ubingwa wa Ligi kwa kucheza na False 9.

Yanga tujiandae na Parade lingine.View attachment 2682043
Tukuwekee orodha ya timu zilizowahi kubeba makombe zikiwa na False 9?
 
Hapo ilikuwa tarehe 24/08/2022, Chico ushindi na beleke wakitambulishwa kwenye timu Yao mpya Nejmeh Sporting Club ya huko Lebanon baada ya kutolewa Kwa mkopo na Mazembe.

"Ujinga ni kuamini anachosema mjinga"(Mwl. Nyerere)
Haya na hapa je?
Screenshot_20230708-163652385.jpg
 
Back
Top Bottom