Jean Baleke anasepa, Simba hawana striker msimu ujao

Jean Baleke anasepa, Simba hawana striker msimu ujao

Kazi ya umbea gongo wazi mnaiweza vizuri sana chukueni maua yenu 💐💐 acha kujitia utabiri manyau nyau🚶🚶🚶🚶
 
Oster Bay.
Mpumbavu sana na kiingereza chako ni dhaifa kabisa. Hujui kuwa oyster ni aina fulani ya konokono wanaoliwa kama samaki na wala hakuna neno la kiingerza la Oster. Elewa kuwa pale panapoitwa Oyster Bay leo (siyo Oster Bay) ni mahali ambapo kulikuwa na konokono wengi wa aina hiyo ya Oyster wakati huo wa mkoloni. Kama umejifunza hilo basi nitafurahi sana.
 
358132229_18226265845226150_1278681305450744382_n.jpg
 
Baleke Alikuwepo Tanzania.

Passport yake IMEJAA.

Amelazimika kwenda KWAO CONGO.

Kwaajili ya KukamilIha passport yake ya kusafilia.

Ili asafiri na Simba kwenda UTURUKI.

KAMA KITU HUJUI BORA UULIZE.
UKIULIZA UNAEPUKA KUONEKANA MPUMBAVU.
 
Baleke Alikuwepo Tanzania.

Passport yake IMEJAA.

Amelazimika kwenda KWAO CONGO.

Kwaajili ya KukamilIha passport yake ya kusafilia.

Ili asafiri na Simba kwenda UTURUKI.

KAMA KITU HUJUI BORA UULIZE.
UKIULIZA UNAEPUKA KUONEKANA MPUMBAVU.
Mkuu , Manara alishamaliza kila kitu . Utopoloni wenye akili ni wawili tu (Sunday Manara na Kikwete) Huyu Yuko kwenye lile kundi la waliobaki. Asikuwangishe kichwa.
 
Dirisha la usajili bado alijafungwa,kununuliwa kwa Baleke imeonyesha ukubwa wa Simba kwa maana Mazembe walimtoa kwa mkopo kwa timu mbili misimu tofauti,ila alipocheza Simba nusu msimu tu kapata soko.

Top ten ligi ya bongo msimu huu Simba imeingiza watano kinara akiwa Ntibazonkiza huyu ni kiungo mshambuliaji.CAF kinara wa magoli kwa Simba ni Chama huyu nae ni kiungo.kama unajua mpira kuna kitu atakiona hapo.
 
Utopolo sijui nani aliwaloga!

Muwe na tabia ya kujiridhisha kabla ya kukimbilia keyboard.

Jean Baleke kaenda kuhuisha ( renew) passport yake kwao Congo.

Muda kidogo uliopita simba wamempost.
Screenshot_20230708-194340.jpg
 
Unaweza kucheza na Phiri kama CF lakini hana uwezo wa kukupa availability factor.

Onana sio mchezaji wa kumtegemea, naye majeruhi yatamuandama.

Kramo hawezi kicheza CF full season.

Bocco ndio tusimzungumzie.

Huwezi beba ubingwa wa Ligi kwa kucheza na False 9.

Yanga tujiandae na Parade lingine.View attachment 2682043
Baleke anamkataba na simba wa miaka miwili ametumikia miezi mitano bado mwaka na miezi saba. Baleke ameenda congo kushuhulikia swala la viza ili aweze kwenda uturuki. Ishu ya kiungo wa kati simba tayari wameshalifanyia kazi imebaki kutangazwa tu. ukiwa huna habari za uhakika tafuta pa kupeleka.
 
Unasema wewe kama nani? Yani unacheza kwa macho...
 
Unaweza kucheza na Phiri kama CF lakini hana uwezo wa kukupa availability factor.

Onana sio mchezaji wa kumtegemea, naye majeruhi yatamuandama.

Kramo hawezi kicheza CF full season.

Bocco ndio tusimzungumzie.

Huwezi beba ubingwa wa Ligi kwa kucheza na False 9.

Yanga tujiandae na Parade lingine.View attachment 2682043
Kweli wenye akili yanga ni wawili tu.
 
Back
Top Bottom