NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
Bado sijaelewa unachobisha wewe ni kipi
Simba ni WAPUMBAVU. Aliwaambiaga Mwenyekiti wao ana kwa ana mwaka 2014 katika Mkutano Mkuu wa Wanasimba.Kuna nyuzi nyingi sana zimeandikwa kumuhusu Jean baleke, kiufupi zimeandikwa kiudaku pasipo kuwa na evidence yakupush agenda Kama baleke alishawahi kuwa mfungaji Bora pale kongo.
Nakataa, nakataa nakataa tena kuwa Jean baleke hakuwahi kuwa mfungaji Bora ligi ya kongo,
Nashangazwa na mashabiki maandazi/shabiki lialia/shabiki mbumbumbu wanaokaza shingo bila yakua na ushahidi wowote Bali wanastori za kwenye vijiwe vya kahawa nakutamka maneno et Jean baleke alimnyima mayele asipate kiatu Cha ufungaji Bora.
Nukuu kutoka kwa shabiki wa Simba jamii forum.
"Kwa taaarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli."
Mwisho wa nukuu ya shabiki wa Simba kutoka jamii forum,
Sasa kwa taarifa yenu Jean baleke hajawahi kuwa mfungaji Bora pale Tp mazembe hii ndiyo list yenye majina yote Mbwana samata, chiko ushindi na deo Kanda ndio wapo kwenye orodha hiyo.
Kama una evidence/ushahidi wamaandiko njoo uweke hapa uthibitisho Kama baleke alikua mfungaji bora pale tp Mazembe.
"No research no right to speak"View attachment 2584549View attachment 2584550View attachment 2584551View attachment 2584553
Huna hoja matusi na kejeri ndiyo makombe yenu, maana ubongo wenu umejaa makamasi tupu.[emoji41]Baleke lazima akutie mimba tarehe 16
Tena Ina mshahara kabisaKazi ipo
Endelea kutoka jashoTena Ina mshahara kabisa
Nilitegemea ungekuja na evidence kupinga hiki nilichokizungumza.Weka list ya mfungaji bora wa ligi ya DRC kwa kila msimu. Mfano
2021/2022 kiatu kachukua fulani
2020/2021 kiatu kachukua fulani. Simple tu
Weka list ya mfungaji bora wa ligi ya DRC kwa kila msimu. Mfano
2021/2022 kiatu kachukua fulani
2020/2021 kiatu kachukua fulani. Simple tu
Nakuonesha kuwa takwimu zako si za kweli, samatta kacheza mechi zaidi ya 40 mazembe kafunga goli zaidi ya 19.Bado sijaelewa unachobisha wewe ni kipi
Ripoti ya CAG hatujui kuichambua.Tumechagua upande hata wa burudani tu.Au ulitaka watu wasifanye lolote wabung'ae tu kama wanaangalia nyumba inaungua?WAJINGA tunazidi KUONGEZEKA jamani.
Simba na yanga Simba na yanga tu!!!!!!!!!!!
Msimu wa 2020/2021 haupo kwenye list ya wa wafungaji. Ilivyofika 2019/2020 Ikaenda hadi 2021/2122 kuna msimu haupo hapoLinafoot - Wikiwand
The Vodacom Ligue 1 is the top division of the Congolese Association Football Federation, the governing body of football in the Democratic Republic of the Congo...www.wikiwand.com
Football statistics of players, clubs, games, transfers - Football Database
Football stats, get the latest from your favorite players and clubs, the latest results and videos...m.footballdatabase.eu
Msimu wa 2020/2021 angalia kwenye link ya pili yake chini. Nimekupa source mbili, mtandaoni hakuna kitu cha siri.Msimu wa 2020/2021 haupo kwenye list ya wa wafungaji. Ilivyofika 2019/2020 Ikaenda hadi 2021/2122 kuna msimu haupo hapo
Nikifungua link ya pili inanipileka kwenye page yenye pamoja na mambo mengine,ratiba ya UEFA YA LEO sioni hiyo ya 2020/2021. Screen shot kama vipi kama kwako inafunguka vizuriMsimu wa 2020/2021 angalia kwenye link ya pili yake chini. Nimekupa source mbili, mtandaoni hakuna kitu cha siri.
Baada ya kusoma source zote, nawewe uje na source inayoonesha Baleke akiwa top scorer wa ligi ya Congo
Unauhakika Kama nimesahau mke wangu?? Kama huna hoja kaa kimyaSababu ya simba unaweza hata ukagongewa mkeo. Maana unasahau mpaka majukumu yako ya msingi mana muda wote unaiwaza tuu simba.
Kama huna hoja kaa kimya nenda kapigane Vita na kanji[emoji41]Sasa hapo umepost nn?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uto bana kweli huwa 0 kichwan
Umemjibu vizuri mbumbumbu mwenzakoRipoti ya CAG hatujui kuichambua.Tumechagua upande hata wa burudani tu.Au ulitaka watu wasifanye lolote wabung'ae tu kama wanaangalia nyumba inaungua?