Jean Baleke hakuwahi kuwa mfungaji Bora pale TP Mazembe (ligi ya kongo) Kama mnavyo danganywa/jidanganya

Jean Baleke hakuwahi kuwa mfungaji Bora pale TP Mazembe (ligi ya kongo) Kama mnavyo danganywa/jidanganya

Kuna nyuzi nyingi sana zimeandikwa kumuhusu Jean baleke, kiufupi zimeandikwa kiudaku pasipo kuwa na evidence yakupush agenda Kama baleke alishawahi kuwa mfungaji Bora pale kongo.

Nakataa, nakataa nakataa tena kuwa Jean baleke hakuwahi kuwa mfungaji Bora ligi ya kongo,
Nashangazwa na mashabiki maandazi/shabiki lialia/shabiki mbumbumbu wanaokaza shingo bila yakua na ushahidi wowote Bali wanastori za kwenye vijiwe vya kahawa nakutamka maneno et Jean baleke alimnyima mayele asipate kiatu Cha ufungaji Bora.

Nukuu kutoka kwa shabiki wa Simba jamii forum.
"Kwa taaarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli."

Mwisho wa nukuu ya shabiki wa Simba kutoka jamii forum,

Sasa kwa taarifa yenu Jean baleke hajawahi kuwa mfungaji Bora pale Tp mazembe hii ndiyo list yenye majina yote Mbwana samata, chiko ushindi na deo Kanda ndio wapo kwenye orodha hiyo.

Kama una evidence/ushahidi wamaandiko njoo uweke hapa uthibitisho Kama baleke alikua mfungaji bora pale tp Mazembe.

"No research no right to speak"View attachment 2584549View attachment 2584550View attachment 2584551View attachment 2584553
Simba ni WAPUMBAVU. Aliwaambiaga Mwenyekiti wao ana kwa ana mwaka 2014 katika Mkutano Mkuu wa Wanasimba.
 
Weka list ya mfungaji bora wa ligi ya DRC kwa kila msimu. Mfano

2021/2022 kiatu kachukua fulani

2020/2021 kiatu kachukua fulani. Simple tu
 
Weka list ya mfungaji bora wa ligi ya DRC kwa kila msimu. Mfano

2021/2022 kiatu kachukua fulani

2020/2021 kiatu kachukua fulani. Simple tu
Nilitegemea ungekuja na evidence kupinga hiki nilichokizungumza.
 
Weka list ya mfungaji bora wa ligi ya DRC kwa kila msimu. Mfano

2021/2022 kiatu kachukua fulani

2020/2021 kiatu kachukua fulani. Simple tu

Sababu ya simba unaweza hata ukagongewa mkeo. Maana unasahau mpaka majukumu yako ya msingi mana muda wote unaiwaza tuu simba.
 
Msimu wa 2020/2021 haupo kwenye list ya wa wafungaji. Ilivyofika 2019/2020 Ikaenda hadi 2021/2122 kuna msimu haupo hapo
 
Msimu wa 2020/2021 haupo kwenye list ya wa wafungaji. Ilivyofika 2019/2020 Ikaenda hadi 2021/2122 kuna msimu haupo hapo
Msimu wa 2020/2021 angalia kwenye link ya pili yake chini. Nimekupa source mbili, mtandaoni hakuna kitu cha siri.

Baada ya kusoma source zote, nawewe uje na source inayoonesha Baleke akiwa top scorer wa ligi ya Congo
 
Nikifungua link ya pili inanipileka kwenye page yenye pamoja na mambo mengine,ratiba ya UEFA YA LEO sioni hiyo ya 2020/2021. Screen shot kama vipi kama kwako inafunguka vizuri
 
Sababu ya simba unaweza hata ukagongewa mkeo. Maana unasahau mpaka majukumu yako ya msingi mana muda wote unaiwaza tuu simba.
Unauhakika Kama nimesahau mke wangu?? Kama huna hoja kaa kimya
 
Back
Top Bottom