NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #61
Waongo sana Hawa Bali wanaleta stori za vijiweni.Huko Spain alikua anacheza timu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waongo sana Hawa Bali wanaleta stori za vijiweni.Huko Spain alikua anacheza timu gani?
Tubishane kwa hoja na Wala siyo kuleta MATUSIUlikua unatoa mwiko ndiyo ukajua ni nyani?Akumbukwe Aimel.
Popoma huna hojaPumba tu
Ndio ilivyo, asa itafute takwimu kwenye trusted source yoyote ikimuonesha Baleke akiwa top scorer wa ligi ya Congo.
Na kuhusu idadi ya magoli aliyekuwa top scorer ambaye ni Dark Kabangu kuwa na magoli 7, kama unaona haiwezekani lazima top scorer awe na goli 10+ basi nenda ufatilie msimu wa 2021/22 Makabi Lilepo kutoka As Vita alikuwa na goli tisa tu na ndiye top scorer. Hakuna ushahidi utakaopatikana Baleke kuwa kinara wa magili Congo.
Kumbe umejigundua?Weka ugoko nikutwishe rungu.Anyway,tuendelee!Tubishane kwa hoja na Wala siyo kuleta MATUSI
Nakazia baleke hakuwahi kuwa mfungaji Bora kongo Kama unabisha Leta evidence/ ushahidi madhubuti utakaorodhisha kwetu.
Kumbe katmbi ndiyo alisema na mashabiki wa Simba wakalichukua Kama lilivyo [emoji23]Hizo screenshot nimezichukua kutoka twitter account ya Tp Mazembe. Katumbi akiwa anaadress. Akisema kuwa Baleke ni topscorrer wa Vodacom League 1. Nikipata nafasi nitatafuta source zingine
Unapotuma screen shot weka na link kabisa ili tuweze kupitia. Ligi ya Congo sio ligi yenye usiri mkubwa kiasi kwamba mchezaji awe top scorer halafu tasrifa za hayo magoli yake yasiwepo.Hizo screenshot nimezichukua kutoka twitter account ya Tp Mazembe. Katumbi akiwa anaadress. Akisema kuwa Baleke ni topscorrer wa Vodacom League 1. Nikipata nafasi nitatafuta source zingine
Nyingine hiiHizo screenshot nimezichukua kutoka twitter account ya Tp Mazembe. Katumbi akiwa anaadress. Akisema kuwa Baleke ni topscorrer wa Vodacom League 1. Nikipata nafasi nitatafuta source zingine
Hicho ndicho kinachonishangaza mimiUnapotuma screen shot weka na link kabisa ili tuweze kupitia. Ligi ya Congo sio ligi yenye usiri mkubwa kiasi kwamba mchezaji awe top scorer halafu tasrifa za hayo magoli yake yasiwepo.
Unapotuma screen shot weka na link kabisa ili tuweze kupitia. Ligi ya Congo sio ligi yenye usiri mkubwa kiasi kwamba mchezaji awe top scorer halafu tasrifa za hayo magoli yake yasiwepo.
footrdc.com
Weka link mkuu sio screen shot pekeeNyingine hii
Weka link mkuu sio screen shot pekee
footrdc.com
Hujaiona hiyo edit.Umeshindwa hata kuandaa uongo wako vizuri!! Chukua hii hapa:
Notable former players[edit]
Source: Ukurasa wa TP Mazembe kwenye Wikipedia!!
Topscorer Linafoot Congo Cup CAF Competition Total Jean Baleke
165 0 40 205
Mkuu kuna update yoyote?Weka link mkuu sio screen shot pekee
Yaah najaribu kuangalia source zingine. Source uliyoleta wewe ndio source hiyo hiyo iliyosema Baleke ana goli moja.Mkuu kuna update yoyote?
Hii haujaweka link. Weka link mkuu1)Kipa Bora Omosola. As Vita
2)Beki Bora Inonga. DC Motema Pembe
3)Kiungo Bora. Kouame Mezembe
4)mshambuliaji kinara Baleke (Mazembe+JSK) magoli 14
5)mocha bora Ibenge. As Vita