DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Kwa mujibu wa ripoti kutoka ndani ya klabu ya Mtibwa Sugar zinasema viongozi wapo kwenye hatua za mwisho za kuinasa saini ya mshambuliaji wa zamani wa klabu za Simba na Yanga, Jean Baleke.
Klabu hiyo ambayo imepanda daraja msimu huu inajiimarisha zaidi kwenye safu yake ya ushambuliaji, licha ya kuwa inasifika kwa kutumia vijana zaidi.
Klabu hiyo ambayo imepanda daraja msimu huu inajiimarisha zaidi kwenye safu yake ya ushambuliaji, licha ya kuwa inasifika kwa kutumia vijana zaidi.