Jean Baleke The Talk of the Town

Jean Baleke The Talk of the Town

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20230409-074823_Gallery.jpg

Hili ni jini lisilokabika, mkijitahidi sana baki litawapiga hata kamoja. Huwezi kulifananisha na vitu vya kijinga. Labda alinganishwe na kundi.

Ndiye mchezaji bora wa mwezi Machi
 
Aiseee, Mchezaji wa kawaida sana tena asiye na maajabu. Magoli anayofunga hata mwanangu wa P6 anafunga ila kwa kuwa simba hamna timu na mnalazimisha upinzani na Yanga ndio mnajiokotezea na kanzisha vithread mbalmbali humu ili muonekane mpo. Sisi Waydad tunawasubiri tu.
 
Amezifunga timu ambazo yanga alishindwa kuzifunga au yanga alishinda goli moja

Mtibwa kala 3, ihefu kala 3
 
Aiseee, Mchezaji wa kawaida sana tena asiye na maajabu. Magoli anayofunga hata mwanangu wa P6 anafunga ila kwa kuwa simba hamna timu na mnalazimisha upinzani na Yanga ndio mnajiokotezea na kanzisha vithread mbalmbali humu ili muonekane mpo. Sisi Waydad tunawasubiri tu.
Wanawake huwasema watu kama wewe mnajishaua.
 
Jean Baleke, The Goal Machine. Jina hili nilimbatiza mimi naona limemkaa.

Na wakimkamia tunampanga pia Phiri na Okrah, labda waingize wachezaji 18 uwanjani, hivi hivi hawatoboi.
 
Visionary football pundit [emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom