Jean Baleke The Talk of the Town

Jean Baleke The Talk of the Town

View attachment 2581821

Hili ni jini lisilokabika, mkijitahidi sana baki litawapiga hata kamoja. Huwezi kulifananisha na vitu vya kijinga. Labda alinganishwe na kundi.

Ndiye mchezaji bora wa mwezi Machi
Dah! Mwasibu una mbwembwe sana. 😁

Hivi unaweza ukatuwekea sasa zile hesabu zako za kihasibu, za huyu jamaa kubadilika ghafla na kuwa garasa kwenye hizi siku za karibuni?
 
Huyu jamaa iangaliwe namna ili abaki hapo msimbazi, akija kuizoea hii ligi atafunga sana maana skills zote za kuwa striker anazo.

Yupo kwa mkopo hapo Simba Sc huku akiwa na mkataba wa muda mrefu na Tp Mazembe (2026)
Baada ya kuizoea?
 
Back
Top Bottom