GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yule jamaa mwenye ukoma wa ngozi na midomo si alisema jamaa ndo basi tena?Mwambieni Yule Meno Kuungua wenu, mla Mirungi na Mporwa Wake zake aliyeandika katika Instagram Page yake kuwa Baleke kaondoka rasmi Simba SC kuwa amerejea rasmi Tanzania na Simba SC hivyo asipende kuwa na Kiherehere.
Imeisha hiyo.....!!
Jamani Tusitambe Na Wachezaji Wa Mkopo!
Hakupenda kuzaliwa hivyo ila ni mapenzi ya Mungu, Heri yako wewe uliyekamilika.Yule jamaa mwenye ukoma wa ngozi na midomo si alisema jamaa ndo basi tena?
Kuwa mstaarabu ANGALAU KIDOGO hata kwa post moja tu!Yule jamaa mwenye ukoma wa ngozi na midomo si alisema jamaa ndo basi tena?
Hakuna. Yale meno si mapenzi ya Mungu na kuwa na uchafu ni mambo yake. Usitetee uchafu..Hakupenda kuzaliwa hivyo ila ni mapenzi ya Mungu, Heri yako wewe uliyekamilika.
Unaujua ustaarabu dogo?Kuwa mstaarabu ANGALAU KIDOGO hata kwa post moja tu!
Hakupenda kuzaliwa hivyo ila ni mapenzi ya Mungu, Heri yako wewe uliyekamilika.
Hapana mzee wangu lakini si ustaarabu kumkejeli mtu kwa ulemavu ambao hakuuomba kwa hiari.Unaujua ustaarabu dogo?
Kilema si tatizo . Tatizo ni tabiaHapana mzee wangu lakini si ustaarabu kumkejeli mtu kwa ulemavu ambao hakuuomba kwa hiari.
Unge-question personality yake siyo kukejeli ulemavu wake. Kama bado unazaa, basi sali sana kwani Mungu anaweza kukuzawadia mtoto ambaye ama atakuwa mbilikimo au atakuwa na ulemavu wa ngozi pia. Hayo yanatokea katika familia yoyote randomly wala siyo genetic na wala haina ujanja wa kuyazuia.Kilema si tatizo . Tatizo ni tabia
View attachment 2683977
AIseee..!!! Usikute muanzisha mada na wewe ni mtu mmoja. Maana mnafanana muandikoYule jamaa mwenye ukoma wa ngozi na midomo si alisema jamaa ndo basi tena?
baleke nae wakumtegemea,dahMwambieni Yule Meno Kuungua wenu, mla Mirungi na Mporwa Wake zake aliyeandika katika Instagram Page yake kuwa Baleke kaondoka rasmi Simba SC kuwa amerejea rasmi Tanzania na Simba SC hivyo asipende kuwa na Kiherehere.
Imeisha hiyo.....!!
ARV na Tiba ya Bomba kila mara aipatayo nchini Dubai kwa Kaka yake Gharib vinamtesa na vimeshamharibu Akili.Yule jamaa mwenye ukoma wa ngozi na midomo si alisema jamaa ndo basi tena?
Tusichaguliane Silaha Vitani Mkuu sawa?Hakupenda kuzaliwa hivyo ila ni mapenzi ya Mungu, Heri yako wewe uliyekamilika.
Yeye ( Unayemtetea ) ni Mstaarabu? Acha Unafiki sawa? Mwambieni hana Akili.Kuwa mstaarabu ANGALAU KIDOGO hata kwa post moja tu!
Nakubaliana nawe kwa hili tena kwa 100%Hakuna. Yale meno si mapenzi ya Mungu na kuwa na uchafu ni mambo yake. Usitetee uchafu..