Jeans la Kocha Mgunda

Oiii Makolo eeeeh! Kocha wenu ndio atakuwa kafanya bei ya maharage imepanda.
 
Tulijadili jeans la Mgunda lina siri gani, mbona halivuliwi miaka nenda miaka rudi?


Watu wake wa karibu wanadai analala nalo ana mka nalo

Aliyesema washabiki wa Yanga ni kima, mbwa na uneducated hajakosea. Hata yule sope aliyesema huko Yanga wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu waliobakia wote ni hamnazo alikuwa sahihi kabisa. Yaani kabisa tuanze kujadili vazi la Mgunda kweli?
 
Jamaa inaelekea ana tabia za Kabwili... Anataka kupumuliwa na Mgunda....

Inaelekea mwiko nyuma haufanyi kazi vizuri
 
Wahindi wapumbavu sana, kuna mwaka nilifanya kazi kwa wahindi yani hata kununua suruali nilikua nashindwa. Inawezekana mshahara hautoshi
Wapuuzi Sanaa unaweza kuta hela anakulipa ila uoni anachofanya
 
Kuna umri ukifika huwa watu wazima hatukimbizani na fashion tunawaachia vijana. Unachagua aina ya nguo ambayo uko comfortable nayo unaishi nayo. Matajiri wengi wanafanya hivi angalia muasisi wa Facebook Mark Zurkerberg ana aina moja tu ya mtoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…