Jeans la Kocha Mgunda

Jeans la Kocha Mgunda

samakiurembo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2021
Posts
445
Reaction score
689
Tulijadili jeans la Mgunda lina siri gani, mbona halivuliwi miaka nenda miaka rudi?

image_search_1666596305746.jpg

Watu wake wa karibu wanadai analala nalo ana mka nalo
 
Oiii Makolo eeeeh! Kocha wenu ndio atakuwa kafanya bei ya maharage imepanda.
 
Tulijadili jeans la Mgunda lina siri gani, mbona halivuliwi miaka nenda miaka rudi?

Watu wake wa karibu wanadai analala nalo ana mka nalo

Aliyesema washabiki wa Yanga ni kima, mbwa na uneducated hajakosea. Hata yule sope aliyesema huko Yanga wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu waliobakia wote ni hamnazo alikuwa sahihi kabisa. Yaani kabisa tuanze kujadili vazi la Mgunda kweli?
 
Jamaa inaelekea ana tabia za Kabwili... Anataka kupumuliwa na Mgunda....

Inaelekea mwiko nyuma haufanyi kazi vizuri
 
Kuna umri ukifika huwa watu wazima hatukimbizani na fashion tunawaachia vijana. Unachagua aina ya nguo ambayo uko comfortable nayo unaishi nayo. Matajiri wengi wanafanya hivi angalia muasisi wa Facebook Mark Zurkerberg ana aina moja tu ya mtoko.
 
Back
Top Bottom