Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wakili Jebra Kambole ameoneshwa kusikitishwa na namna kosa la uhaini lilivyofanywa kama kuwa la kawaida na kuonya kuwa ipo siku litatokea kweli.
Wananchi mbalimbali pia wameoneshwa kusikitishwa na namna kosa hili linavyotajwa mara kwa mara katika kipindi hiki hali inayopelekea kupoteza ule uzito uliokusudiwa ukilinganisha kesi za uhaini za mwanzoni kabisa zilizvyokuwa. Katika kipindi hiki imeonekana kuwa kama kitisho na kuwabebebsha watu mzigo.
Haya yanajiri ikiwa ni masaa machache tu toka ilipotoka orodha ikiwataja wananchi mbalimbali ikiwemo mfanya bishara maarufu Niffer kuwa wameshtakiwa kwa makosa ya Uhaini.
Soma pia
===
Tunapenda sana kosa la uhaini na tumelifanya la kawaida! Muda sio mrefu litafanyika kweli na litatoboa, kila mtu atabaki na kipande chake cha muungano!Siku watu wataondoka kwa fimbo ikulu!!Kama mshauri wao wa kisheria ndo huyo wa degree za Ukraine!!

- News Alert: - Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025
- GE2025 - Jamhuri yaongeza wengine 47 kwenye kesi ya Uhaini baada ya Maandamano Oktoba 29, idadi yafikia watu 145