Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Kwahiyo awamu hii inatembelea na uhaini mkuu?Awamu ya bwana yule walitumia kosa la UHUJUMU UCHUMI kuwakomoa wakosoaji na wasiokubaliana nao. Sick!
Yeah!...Kila awamu ina fimbo ya kuchapia washindani wake.Awamu ya bwana yule walitumia kosa la UHUJUMU UCHUMI kuwakomoa wakosoaji na wasiokubaliana nao. Sick!