Jedwali la kiwango cha ufaulu sekondari hadi division 5

Div 0 ni kundi la ufaulu usioridhisha inakuajee ufaulu tena?...kazi ipoo.
 
Kwa hiyo hamna failures? Coz "ufaulu usioridhisha" sio kufeli. TZ hamna linaloshindikana...!
 
OLESAIDIMU maksi zako zinapatikana huku,divisheni five
 
Last edited by a moderator:
Politics ruin our education. May God forbid this shit.
 
Kawambwa kawa mbwa mwitu kwa afya ya elimu ya tz.
 
Akili ya njaa haishindwi jambo lolote hiyo ndio TZ yetu
 
huweizi jua labda alianza chekechea akiwa na miaka 2 halafu darasa la kwanza akiwa na miaka 3 ndo maana ana masters au alisoma kwa hatua na kupelekwa juu kila kidato
Kama aliyepewa umiss bibi wa miaka 18 ana mastaz.
 
Ni kweli best usemayo yani sijui nani atasimama na kurekebisha huu mfumo maana viongozi wote wamekaa kisiasa siasa hakuna uratibu mzuri wa kufuatilia na kurekebisha mfumo huu
mfumo wetu wa elimu unasikitisha besti..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…