Jedwali la kodi za PAYE 2022 si la kitaalam

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2007
Posts
2,903
Reaction score
1,360
Nimedownload hilo jedwali (INCOME TAX TABLES 2122) kwa link hii Tanzania Revenue Authority - Tax Tables na nimegundua lina mapungufu kadhaa, Kuna mahali ukiweka mshahara kodi inakuja hasi (negative).

Na hii imesababishwa na mtengeneza jedwali kutotumia formula inayojumuisha kila tax bracket.

Kwa kuwa jedwali ni vertical, tumia formula hii:

=IF(I59<=270000,0,IF(I59>1000000,128000+0.3*(I59-1000000),IF(I59>760000,68000+0.25*(I59-760000),IF(I59>520000,20000+0.2*(I59-520000),IF(I59>270000,0.08*(I59-270000),)

Copy and paste kwenye column ya tax.

Naomba pia TRA mrekebishe template zenu kwenye efilling za PAYE, bado template zina tax rates za zamani

Nawasilisha
 
=IF(I59>=1000000,128000+(I59-1000000) *0.3,IF(I59>=760000,68000+(I59-760000) *0.25,IF(I59>=520000,20000+(I59-520000)*0.2,IF(I59>=270000,(I59-270000)*0.08,0))))
 
=IF(I59>=1000000,128000+(I59-1000000).3,IF(I59>=760000,68000+(I59-760000).25,IF(I59>=520000,20000+(I59-520000).2,IF(I59>=270000,(I59-270000).08,0))))
Nimeiangalia kuna ongezeko la kodi badala ya punguzo (in reference to June salary) au sijaelewa huo mjedwali ?
 
Hapana, kuna punguzo la kodi. ila aliyetegeneza jedwali kaweka tofauti ya shs 250 kati ya point moja na nyingine, hii si halisi; na pia kwa kuwa hakutumia formula inayojumuisha tax brackets zote ndiyo sababu ya kupata negative tax. Kwa mfano ukienda kwenye shs 600,000 ukaweka 300,000 utapata negative tax. Lakini kwa formula niliyoweka hapu juu, ukienda kwenye excel ukaicopy kwenda chini, then taxable pay yoyote utakayoweka kushoto kwake, tax sahihi itakuja. Kwa mfano ukicopy hiyo fumula kwenye column b, the weka salaries kwenye column a
 
Hapana, kuna punguzo la kodi. ila aliyetegeneza jedwali kaweka tofauti ya shs 250 kati ya point moja na nyingine, hii si halisi; na pia kwa kuwa hakutumia formula inayojumuisha tax brackets zote ndiyo sababu ya kupata negative tax. Kwa mfano ukienda kwenye shs 600,000 ukaweka 300,000 utapata negative tax. Lakini kwa formula niliyoweka hapu juu, ukienda kwenye excel ukaicopy kwenda chini, then taxable pay yoyote utakayoweka kushoto kwake, tax sahihi itakuja. Kwa mfano ucicopy hiyo fumula kwenye column b, the weka salaries kwenye column a
Kwa basic ya laki 9.4, ongezeko kiasi gani?
 
Nimeiangalia kuna ongezeko la kodi badala ya punguzo (in reference to June salary) au sijaelewa huo mjedwali ?
Hata mm nimeshangaa kwenye mshahara wangu naona kama kutakuwa na ongezeko la kodi kama elfu 50 hivi na kidogo, nashawishika kuamini hii sheet itakuwa na makosa mahali. Tusubiri tuone
 
Hapana, kuna punguzo la kodi. ila aliyetegeneza jedwali kaweka tofauti ya shs 250 kati ya point moja na nyingine, hii si halisi; na pia kwa kuwa hakutumia formula inayojumuisha tax brackets zote ndiyo sababu ya kupata negative tax. Kwa mfano ukienda kwenye shs 600,000 ukaweka 300,000 utapata negative tax. Lakini kwa formula niliyoweka hapu juu, ukienda kwenye excel ukaicopy kwenda chini, then taxable pay yoyote utakayoweka kushoto kwake, tax sahihi itakuja. Kwa mfano ucicopy hiyo fumula kwenye column b, the weka salaries kwenye column a
Income maana yake ni basic au take home baada ya kutoa kodi?
 
Nimedownload hilo jedwali (INCOME TAX TABLES 2122) kwa link hii Tanzania Revenue Authority - Tax Tables na nimegundua lina mapungufu kadhaa, Kuna mahali ukiweka mshahara kodi inakuja hasi (negative).

Na hii imesababishwa na mtengeneza jedwali kutotumia formula inayojumuisha kila tax bracket.

Kwa kuwa jedwali ni vertical, tumia formula hii:
=IF(I59<=270000,0,IF(I59>1000000,128000+0.3*(I59-1000000),IF(I59>760000,68000+0.25*(I59-760000),IF(I59>520000,20000+0.2*(I59-520000),IF(I59>270000,0.08*(I59-270000),)

Copy and paste kwenye column ya tax.

Naomba pia TRA mrekebishe template zenu kwenye efilling za PAYE, bado template zina tax rates za zamani

Nawasilisha
Nimejaribu angalia ya mwaka 2017/2018 naona gap ya 250 ipo vile vile na pia nimejaribu angalia mtu wa mshahara wa 300,000 kwa mwaka 2017/18 ilikuwa shilingi 11,723 na hii ya 2021/22 naona ni shilingi 2,400 naona kama kuna upungufu hapo kodi imeshuka ukilinganisha na kati ya 2017/18 na sasa.
 
Mnaangaliaje hiyo.
Mfano mtu mwenye salary ya laki 9.4 hapo inaonekana tax laki 1.13
Wakati sasa hivi analipa elfu 96.
Inamaana kodi imeongezeka
 
Tofautisha mshahara na kipato kinachokatwa kodi. Siyo mshahara wote unakatwa kodi, kuna punguzo kama vile kiasi unacho changia nssf na pia ongeza posho unazolipwa nk. Hapa tunazungumzia taxable pay. Kama June 2021 ulikatwa kodi ya shs 96,000, basi taxable pay yako ilikuwa 862,000, ambayo kwa viwango vipya utakatwa shs 93,500, ikiwa ni tofauti ya shs 2,500.
Kwa muhtasari, wale wote wenye taxable pay ya shs 520,000 na kuendelea watapata unafuu wa kodi wa shs 2,500 kwa mwezi, Wenye kipato chini ya hapo watapata unafuu mdogo zaidi. Mwa mfano mwenye taxable pay ya shs 280,000 alikuwa akikatwa shs 900, sasa atakatwa shs 800 ikiwa ni tofauti ya shs 100.
 
Nimejaribu angalia ya mwaka 2017/2018 naona gap ya 250 ipo vile vile na pia nimejaribu angalia mtu wa mshahara wa 300,000 kwa mwaka 2017/18 ilikuwa shilingi 11,723 na hii ya 2021/22 naona ni shilingi 2,400 naona kama kuna upungufu hapo kodi imeshuka ukilinganisha na kati ya 2017/18 na sasa.
umeenda nyuma zaidi, angalia mwezi June mwaka huu na July mwaka huu, Ukienda 2017/18, kuna mabadiliko mengi yameshapita hapa katikati
 
Income maana yake ni basic au take home baada ya kutoa kodi?
income tax inakatwa kwenye taxable pay ambayo siyo lazima ilingane na basic, Take home ni net pay baada ya makato yote
 
Hata mm nimeshangaa kwenye mshahara wangu naona kama kutakuwa na ongezeko la kodi kama elfu 50 hivi na kidogo, nashawishika kuamini hii sheet itakuwa na makosa mahali. Tusubiri tuone
Utakuwa umechanganya basic pay na taxable pay
 
Hapa sasa ndio unazidi kunichanganya.
Magufuli mwaka jana alipunguza kodi 2% Ila hela iliongezeka karibia elfu 41.
Mwigulu kapunguza kodi 1% unasema itaongezeka 2500 ?
Unaona ni sawa ?
Tofautisha mshahara na kipato kinachokatwa kodi. Siyo mshahara wote unakatwa kodi, kuna punguzo kama vile kiasi unacho changia nssf na pia ongeza posho unazolipwa nk. Hapa tunazungumzia taxable pay. Kama June 2021 ulikatwa kodi ya shs 96,000, basi taxable pay yako ilikuwa 862,000, ambayo kwa viwango vipya utakatwa shs 93,500, ikiwa ni tofauti ya shs 2,500.
Kwa muhtasari, wale wote wenye taxable pay ya shs 520,000 na kuendelea watapata unafuu wa kodi wa shs 2,500 kwa mwezi, Wenye kipato chini ya hapo watapata unafuu mdogo zaidi. Mwa mfano mwenye taxable pay ya shs 280,000 alikuwa akikatwa shs 900, sasa atakatwa shs 800 ikiwa ni tofauti ya shs 100.
 
umeenda nyuma zaidi, angalia mwezi June mwaka huu na July mwaka huu, Ukienda 2017/18, kuna mabadiliko mengi yameshapita hapa katikati
hata tax table ya 2018/19 aliyepata mshahara wa 300,000 alikatwa 11,700 na ndiyo ilikuwa tax table ya mwisho kutolewa sababu baada ya hapo hakukuwa na mabadiliko tena.Kinachofanyika ni kuwa wanatoa ile pesa inayopelekwa mifuko ya jamii kinachobaki ndiyo wanalinganisha hapo kwenye table ili kupata kodi.
 
Nakubaliana na wewe mabadiliko hayo mojawapo ni kiwango cha kima cha chini toka 170,000 kwa mwezi mpaka 270,000
 
hata tax table ya 2018/19 aliyepata mshahara wa 300,000 alikatwa 11,700 na ndiyo ilikuwa tax table ya mwisho kutolewa sababu baada ya hapo hakukuwa na mabadiliko tena.Kinachofanyika ni kuwa wanatoa ile pesa inayopelekwa mifuko ya jamii kinachobaki ndiyo wanalinganisha hapo kwenye table ili kupata kodi.
Mwaka jana walifanyaje hadi ikawa kuanzia mshahara wa milioni 1 hadi milioni 30 ongezeko lao likawa sawa elfu 51.
 
  • Thanks
Reactions: snn
Back
Top Bottom