Jedwali la kodi za PAYE 2022 si la kitaalam

Jedwali la kodi za PAYE 2022 si la kitaalam

Hapa sasa ndio unazidi kunichanganya.
Magufuli mwaka jana alipunguza kodi 2% Ila hela iliongezeka karibia elfu 41.
Mwigulu kapunguza kodi 1% unasema itaongezeka 2500 ?
Unaona ni sawa ?
Kumbukumbu zangu zinaonnyesha kuwa punguzo la asilimia 2 lilfanyika July 2016, yaani kutoka 11% na kuwa 9% . Ukifuatilia mishahara ya june 2016 na July 2016 utagundua tofauti ya kodi ni kama shs 1500 hivi.
Mwaka jana kilichobadilishwa ni kima cha juu cha kutokatwa kodi kutoka 170,000 hadi 270,000 na wala si asilimia (zilibaki palepale) Mabadiliko hayo yalibadilisha tax brackets zote,zilikuwa:
170,000 - 360,000 kodi 9%
360,000 - 540,000 kodi 20%
540,000 - 720,000 kodi 25%
zaidi ya720,000 kodi 30%
Mabadiliko yakawa:
270,000 - 520,000 kodi 9%
520,000 - 760,000 kodi 20%
760,000 - 1,000,000 kodi 25%
zaidi ya 1,000,000 kodi 30%
Nadhani nimerahisisha mno maelezo ili wengi tuweze kuelewana (sikutaka kutumia lugha ya kile kinachozidi nk)
 
Sahihi kabisa kamanda
 
Hapa sasa ndio unazidi kunichanganya.
Magufuli mwaka jana alipunguza kodi 2% Ila hela iliongezeka karibia elfu 41.
Mwigulu kapunguza kodi 1% unasema itaongezeka 2500 ?
Unaona ni sawa ?
Ongezeko ktk mshahara ni sh 2,500 tu, hii ni kwa sababu wamepunguza %tu, magufuli alipunguza kiwango percentage na kima cha chini cha mshahara kinachotakiwa kukatwa kodi ndio sababu iliongezeka 51,000
 
[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ongezeko ktk mshahara ni sh 2,500 tu, hii ni kwa sababu wamepunguza %tu, magufuli alipunguza kiwango percentage na kima cha chini cha mshahara kinachotakiwa kukatwa kodi ndio sababu iliongezeka 51,000
2500 kwa mtu wa laki 9. Je kwa laki 3 itakuwaje?
 
Tofautisha mshahara na kipato kinachokatwa kodi. Siyo mshahara wote unakatwa kodi, kuna punguzo kama vile kiasi unacho changia nssf na pia ongeza posho unazolipwa nk. Hapa tunazungumzia taxable pay. Kama June 2021 ulikatwa kodi ya shs 96,000, basi taxable pay yako ilikuwa 862,000, ambayo kwa viwango vipya utakatwa shs 93,500, ikiwa ni tofauti ya shs 2,500.
Kwa muhtasari, wale wote wenye taxable pay ya shs 520,000 na kuendelea watapata unafuu wa kodi wa shs 2,500 kwa mwezi, Wenye kipato chini ya hapo watapata unafuu mdogo zaidi. Mwa mfano mwenye taxable pay ya shs 280,000 alikuwa akikatwa shs 900, sasa atakatwa shs 800 ikiwa ni tofauti ya shs 100.
Hivi gratuity inakatwa kodi mwaka huu wa bajeti?
 
Nimedownload hilo jedwali (INCOME TAX TABLES 2122) kwa link hii Tanzania Revenue Authority - Tax Tables na nimegundua lina mapungufu kadhaa, Kuna mahali ukiweka mshahara kodi inakuja hasi (negative).

Na hii imesababishwa na mtengeneza jedwali kutotumia formula inayojumuisha kila tax bracket.

Kwa kuwa jedwali ni vertical, tumia formula hii:

=IF(I59<=270000,0,IF(I59>1000000,128000+0.3*(I59-1000000),IF(I59>760000,68000+0.25*(I59-760000),IF(I59>520000,20000+0.2*(I59-520000),IF(I59>270000,0.08*(I59-270000),)

Copy and paste kwenye column ya tax.

Naomba pia TRA mrekebishe template zenu kwenye efilling za PAYE, bado template zina tax rates za zamani

Nawasilisha
Kamakabuzi , hili hapa liko sawa mkuu?
 
Nimejaribu angalia ya mwaka 2017/2018 naona gap ya 250 ipo vile vile na pia nimejaribu angalia mtu wa mshahara wa 300,000 kwa mwaka 2017/18 ilikuwa shilingi 11,723 na hii ya 2021/22 naona ni shilingi 2,400 naona kama kuna upungufu hapo kodi imeshuka ukilinganisha na kati ya 2017/18 na sasa.
Punguzo la kodi la 1% lililotangazwa na Rais ndio tumepigwa mwingi?
 
Back
Top Bottom