a yupo kituo cha basi akisubiri kupata usafiri.
Ikatokea ajali ya gari karibu na yeye!
B alikuwa msafiri ktk gari iliyopata ajali.
Kwenye ile ajali mkono wa b ukakatika na kumrukia a, na kumuua pale pale!
Jee b akipona matibabu ana kesi ya kujibu?
Wanasheria nisaidieni.
Mkuu this is an extraordinary illustration I have ever seen in my readings!
Kuna mambo mawili hapa, la kwanza, ni suala la usalama barabarani na la pili, kifo cha mtu. Illustration haikueleza kuwa B alikuwa anaendesha hiyo gari bali alikuwa msafiri wa hiyo gari, hivyo, kama haitodaiwa vinginevyo basi B hawezi kushtakiwa kwa kosa la usalama barabarani, isipokuwa dereva wa gari hiyo.
La pili, kwa kuwa B ni victim wa hiyo ajali na kiungo chake kimekatika na kumuathiri mtu mwengine hawezi kushitakiwa kwa kosa la kusababisha kifo cha mtu,definately mashitaka hayo yanakuja kwa dereva (kwa kuwa B siyo dereva kama ilivyosemwa hapo juu) atakayejibu shitika la kusababisha kifo na madhara mengine kwa shitaka la mwanzo, pamoja na ulemavu wa B.
My opinion, I could be wrong too!
A yupo kituo cha basi akisubiri kupata usafiri.
ikatokea ajali ya gari karibu na yeye!
B alikuwa msafiri ktk gari iliyopata ajali.
Kwenye ile ajali mkono wa B ukakatika na kumrukia A, na kumuua pale pale!
Jee B Akipona matibabu ana kesi ya kujibu?