CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,923
Politicians are like diapers. They both need changing regularly and for the same reason. ~Author Unknown
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inavyoonekana wewe unazungumzia siasa hapa. Kompyuta ninayo tumia hapa ni moja ya indicators za maendeleo ukilinganisha na wakati wa uhuru wakati hata typewriter ilikuwa ni kitu adimu. Umesahau concept ya Comparative Advantage (kwamba mimi nitaagiza Kopyuta kwa kuwa ni ghali kuizalisha hapa nchini). Ujisifie kwa kusema "Ni vyema ukatoka kidogo". Wewe uliyetoka unaisaidia nini nchi hii kama siyo kupiga majungu yasiyo na tija? Maendeleo ya Nchi yanahitaji pia uzalendo na kuipenda nchi yako. Wenzetu kama China wameendelea kwa kuwa Wazalendo na kuipenda Nchi yao.MKUUPole saana, kama wenzetu walikuwa wanafikiria hivyo sidhani hata hiyo computer unayotumia leo ungekuwa nayo, Ni vema ukatoka kidogo uangalie na mataifa mengine wanafanya nini, kwa huu mtazamo bado tunasafari ndefu saana
Wenyewe chama cha magamba wanakuambia vijana ni taifa la kesho na si la leo....sasa je,umewahi kuiona kesho? Jibu ni kwamba chama cha magamba hakijali vijana,ila kinajali wazee tu.....kwahiyo ni bora kwenda kubeba maboksi nchi za watu kuliko kupoteza time bongo.
Mkuu ulikua unapinga siasa na Mwl Nyerere?Hii nchi ni mismanaged,there is no doubt about that.Na hili swala la viongozi kusema ,'' Nchi hii ni ya amani,siyo kama Somalia,siyo kama Libya'',hii ni makosa. Mtu anataka kujikosha kwa kuwachafua watu wengine. Inakuwa kama watu wengine hawana ruhusa kuwa na amani kwa sababu amani ni hati miliki ya Tanzania.
It is interesting to note kwamba siku moja kabla ya milipuko ya mabomu Mbagala,Rais Mwinyi alikuwa anasema,'' Tanzania ni nchi safi kabisa. Badala ya kuzalisha wakimbizi,yenyewe inapokea wakimbizi,inawapa hifadhi wakimbizi.'' Kesho yake Tanzania ilikuwa na wakimbizi elfu kadhaa,wamekwenda Uhuru Stadium. Halafu yule yule Waziri mhusika hakuulizwa swali lolote,badale yake nadhani amekuwa promoted,yupo sasa katika Kamati Kuu ya CCM. Ndiyo haya mambo yanayolete maandamano katika Nchi nyingi duniani. The Governments are not self-regulating themselves,wanasubiri mpaka watu waandamane. Ndiyo maana response to those demonstrations is very sluggish by the international community,kwa sababu those governments are suppossed to regulate themselves.
Marehemu Abdulrahaman Babu alihawai kusema[wakati alipokuwa hayupo Serikalini,wakati alipokuwa anaishi Ulaya na Marekani],kwamba,''Kama Tanzania haina vita, maendeleo yake yako wapi?''
Ndg
Naona watu wameathirika sana na michango ya siasa iliyotawala hapa JF. Tunaamini kila kinachoongelewa humu bora kinaiponda serikali au kiongozi wa chama ukipendacho kasema basi ni kweli. Ya JF si kwamba yote ni sahihi, utapotoka.
Niseme hivi TZ haijafika hapo mnaposema. Jiulize ni wangapi wanaingia TZ wakiziacha nchi zao, wako wachina, Indians, Africans, unabakia kujiliwaza eti TZ ni mbaya.
Nakushauri badilisheni mtizamo wenu. Soma Methali 18.21 itawasaidia.
Ukitaka kujua uzuri wa TZ hebu toka hata mwezi mmoja nenda hiyo nchi unayosema ni nzuri, Somalia, Kenya, Sudan n.k
Kama hupendi chama tawala usichanganye na kuipenda nchi yako, maana kuitukana nchi yako ni kujitukana mwenyewe.
HahahahMkuu nilikuwa na Somalia kichwani. Sasa kama na yenyewe mambo ni mazuri kuliko TZ basi tena hakuna nyingine. Manake Somalia ndio nchi pekee ya Kiafrika ambayo inafuata hatua ambazo ulaya walizifuata na kupata maendeleo. Kwa sasa Somalia wako kwenye hatua ya Pirates ambayo wazungu wengi waliitumia kujitajirisha miaka ya huko nyuma kwa kuteka mizigo na mameli baharini.
Nina mashaka makubwa na uelewa wa kizazi cha Jamii forum.Ndg
Naona watu wameathirika sana na michango ya siasa iliyotawala hapa JF. Tunaamini kila kinachoongelewa humu bora kinaiponda serikali au kiongozi wa chama ukipendacho kasema basi ni kweli. Ya JF si kwamba yote ni sahihi, utapotoka.
Niseme hivi TZ haijafika hapo mnaposema. Jiulize ni wangapi wanaingia TZ wakiziacha nchi zao, wako wachina, Indians, Africans, unabakia kujiliwaza eti TZ ni mbaya.
Nakushauri badilisheni mtizamo wenu. Soma Methali 18.21 itawasaidia.
Ukitaka kujua uzuri wa TZ hebu toka hata mwezi mmoja nenda hiyo nchi unayosema ni nzuri, Somalia, Kenya, Sudan n.k
Kama hupendi chama tawala usichanganye na kuipenda nchi yako, maana kuitukana nchi yako ni kujitukana mwenyewe.
You've made my day[emoji2]Naanzisha maudhui haya kwa minajili ya kuwafungua macho watu wengi ambao hawajapata nafasi ya kutembea, na ambao siku zote wanalishwa propaganda za watawala. Kwamba nchi ina amani, mshikamano bla bla bla.
Zamani walikuwa wanatoa mifano ya South Afrika, Angola, Namibia n.k. jinsi mtu mweusi anavokandamizwa huko na kuwa Watanzania wako huru na inapasa kujivunia nchi yao.
Ila mapambano yalipogeuka kuwa ya uchumi wakawa hoja hizo hawanazo. Sasa nadhani hoja moja tu wanayo, nayo ni ile ya amani. Hii pia inatafunwa siku hadi siku kutokana na kupungua mno kwa migogoro Afrika.
Katika matembezi yangu, na kusema kweli nimetembelea nchi ambazo zilikuwa katika vita tangu 70 au 80s, kama Chad,Sudan hata Somalia. Ila kitu kimoja ambacho Tanzania ni tofauti kabisa, ni jinsi maisha ya raia wengi yalivyo duni na mabaya. Kwa hili, hata Somalia ina afadhali. Bila shaka, ni uongozi mbaya, tangu uhuru, ndio ilioifanya Tanzania kufikia hapa, ingawaje ina utajiri mkubwa.
Kama mtu ana jina la nchi yeyote duniani ambayo raia wake wengi wanaishi maisha duni, ya kudhalilishwa na watawala, kuliko Tanzania....aitaje.
Wasomali wengi wanomiliki vitu Kenya ni wasomali wa Kenya si Wasomali wa Somalia. Wasomali ni moja ya makabila makubwa Kenya. Wanatoka mkoa wa North Eastern,Kenya. So usiwalinganshe na Wabongo.Wasomali hupatikana Somalia, Ethiopia, Kenya na Djibouti. Greater SomaliaMkuu, at least Somalia hakuna mgao wa umeme wa kufa, ambapo hata kama hukutumia umeme unalipishwa. Tena mtandao wao wa simu mzuri kuliko Bongo mara kumi. Somalia wana mabenki yanayomilikiwa na wazawa na uchumi wao wanaumiliki wao wenyewe. Kati ya haya hakuna hata moja nJIni Tanzania. Wasomali hivi sasa wanamiliki sehemu nzuri ya uchumi wa Kenya. Hilo linawezekana tu kutokana na confidence waliyo nayo. Wabondo wangapi wanamiliki chochote Kenya?
Usisikie propaganda: dunia hii hakuna anayeishi vibaya kama Mbongo!
NORTH KOREANaanzisha maudhui haya kwa minajili ya kuwafungua macho watu wengi ambao hawajapata nafasi ya kutembea, na ambao siku zote wanalishwa propaganda za watawala. Kwamba nchi ina amani, mshikamano bla bla bla.
Zamani walikuwa wanatoa mifano ya South Afrika, Angola, Namibia n.k. jinsi mtu mweusi anavokandamizwa huko na kuwa Watanzania wako huru na inapasa kujivunia nchi yao.
Ila mapambano yalipogeuka kuwa ya uchumi wakawa hoja hizo hawanazo. Sasa nadhani hoja moja tu wanayo, nayo ni ile ya amani. Hii pia inatafunwa siku hadi siku kutokana na kupungua mno kwa migogoro Afrika.
Katika matembezi yangu, na kusema kweli nimetembelea nchi ambazo zilikuwa katika vita tangu 70 au 80s, kama Chad,Sudan hata Somalia. Ila kitu kimoja ambacho Tanzania ni tofauti kabisa, ni jinsi maisha ya raia wengi yalivyo duni na mabaya. Kwa hili, hata Somalia ina afadhali. Bila shaka, ni uongozi mbaya, tangu uhuru, ndio ilioifanya Tanzania kufikia hapa, ingawaje ina utajiri mkubwa.
Kama mtu ana jina la nchi yeyote duniani ambayo raia wake wengi wanaishi maisha duni, ya kudhalilishwa na watawala, kuliko Tanzania....aitaje.
Akikutawala atakutumikisha, atachuma, atapeleka kwake. . .atakuacha na umasikini wakoNi kweli munaokimbia muna sababu. Labda tumwombe Kagame atutawale angalao kwa mwaka mmoja