Jee, duniani kuna nchi inayoendeshwa vibaya zaidi kuliko Tanzania

Politicians are like diapers. They both need changing regularly and for the same reason. ~Author Unknown
 
MKUUPole saana, kama wenzetu walikuwa wanafikiria hivyo sidhani hata hiyo computer unayotumia leo ungekuwa nayo, Ni vema ukatoka kidogo uangalie na mataifa mengine wanafanya nini, kwa huu mtazamo bado tunasafari ndefu saana
Inavyoonekana wewe unazungumzia siasa hapa. Kompyuta ninayo tumia hapa ni moja ya indicators za maendeleo ukilinganisha na wakati wa uhuru wakati hata typewriter ilikuwa ni kitu adimu. Umesahau concept ya Comparative Advantage (kwamba mimi nitaagiza Kopyuta kwa kuwa ni ghali kuizalisha hapa nchini). Ujisifie kwa kusema "Ni vyema ukatoka kidogo". Wewe uliyetoka unaisaidia nini nchi hii kama siyo kupiga majungu yasiyo na tija? Maendeleo ya Nchi yanahitaji pia uzalendo na kuipenda nchi yako. Wenzetu kama China wameendelea kwa kuwa Wazalendo na kuipenda Nchi yao.
 

Ni bora kupigania haki yako Bongo mpaka kieleweke, kuliko kwenda kubeba mabox kwa watu. Tz ni ya umma wa waTz, na hao viongozi wanafanya hivyo kwasababu tumewaruhusu. LET WE JOIN OUR PAIN AND SAY NO TO MISUSES OF OUR RESOURCES (MALI YA TANZANIA NI YA WATANZANIA NA SIO YA VIONGOZI WAO) HAPA HAPA MPAKA KIELEWEKE.
 
uozo ulishamiri sana enzi za mkapa na zaid kabisa enzi za jk mzee wa kuchekacheka na kusafiri
 
Mkuu ulikua unapinga siasa na Mwl Nyerere?
 
Wanachosahau au kujifanya kusahau ni kwamba pasipo kuwa na upendo hapawezi kuwa na amani. Na hiyo amani haiwezi kuonekana kama hatumjui Mungu. Je tunamjua? Tunamheshimu? Tunamtukuza? Tafakarini sana
 
Nadhani hili swali limefika wakati mwafaka wakati tunalishana propaganda za AMANI YETU tujiulize pia ni namna gani hawa viongozi wetu wanatuongoza tukilinganisha Na NCHI nyingine duniani. Nami naona Tanzania ni hali mbaya zaidi hasa linapokuja swala la kujitambua Na kudai Haki stahiki kwa RAIA.
 

Kuna watu wanatoka USA wanaenda Canada
 
je duniani kuna watu awapendi nchi yao kama tanzania....?
 
Amani ndiyo inaleta yote haya ila jaribu kupandisha unga au gharama zozote jirani tu hapo uone nini kinafata
 
Hahahah
 
Nina mashaka makubwa na uelewa wa kizazi cha Jamii forum.
 
You've made my day[emoji2]
 
Wasomali wengi wanomiliki vitu Kenya ni wasomali wa Kenya si Wasomali wa Somalia. Wasomali ni moja ya makabila makubwa Kenya. Wanatoka mkoa wa North Eastern,Kenya. So usiwalinganshe na Wabongo.Wasomali hupatikana Somalia, Ethiopia, Kenya na Djibouti. Greater Somalia
 
NORTH KOREA
 
Ni kweli munaokimbia muna sababu. Labda tumwombe Kagame atutawale angalao kwa mwaka mmoja
Akikutawala atakutumikisha, atachuma, atapeleka kwake. . .atakuacha na umasikini wako
 
Mikataba mibovu na ya siri ni sababu kuu.
Mishahara ya wageni hata kama ni MKenya au MZambia analipwa hata mara tatu au zaidi kwa kazi ileile kampuni ileile uwezo uleule na kwa miaka na miaka,wanaendelea kupetwa vibali hakuna ufuatiliaji wa kwamba lazima wazawa Wapewe madaraka baada ya contract ya muda flani wa wageni .Ni eneo moja tuu ambalo nashangaa limefanikiwa nalo ni hospitali ya Moyo ya Muhimbili.labda tungejifunza huko hao wenzetu wamewezaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…