Jee kiongozi wetu huyu anasema ukweli au kampeni zimeanza?

Jee kiongozi wetu huyu anasema ukweli au kampeni zimeanza?

Kibunango,
Sijatia chumvi chochote. Nimemsikia kwa masikio yangu mwenyewe Ali akisema kuwa yeye ndiye real Karume. Go figure! Hata mashahidi ninao.

Mkuu Jasusi,

Alikuwa ana maanisha kwamba rais wa sasa si mtoto wa rais wa kwanza, au ni vipi hapo ....... jinsi ulivyomuelewa.
 
Huyu anajiona kuwa bora zaidi ya ndugu yake. Anajiona kuwa anastahili zaidi kuiongoza Zbar kuliko Amani....kwamba yeye is the real Karume.

considering yule mwengine niwa DIRIA (yeah I SAID IT).. yes he has a right to think that he's the real Karume.lol
 
Back
Top Bottom