Jee Kuna Ukweli Kuwa in Tanzania, Mafuta ya Vituo vya Total, " They are The Best?. If Yes, How Wakati Tunanunua Bulk?.

Jee Kuna Ukweli Kuwa in Tanzania, Mafuta ya Vituo vya Total, " They are The Best?. If Yes, How Wakati Tunanunua Bulk?.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali,
Jee Kuna Ukweli Kuwa in Tanzania, Mafuta ya Vituo vya Total, " They are The Best?. If Yes, How?!.


Juzi kati katika kusheherekea Sikukuu ya Wapendanao Valentine, Kampuni ya Total Tanzania ilitoa punguzo la TZS 70 kwa kila lita ya mafuta utakayo nunua katika vituo vya Total, hivyo kama kawaida ya Watanzania, tunavyopenda miteremko, na mimi nikiwa ni mmoja wa Watanzania hawa, hivyo nikachangamkia fursa.

Kwenye vituo nikakumbana na adha ya misururu mirefu ya magari makubwa, ya kati, ma SUV, madogo, taxi, Uba, hadi Bajaj na Boda Boda, zote zimesongamana vituo vya Total kujaza mafuta.

Tena kufuatia punguzo hilo, hata wale wanaojaza mafuta kidogo kidogo, leo nao wamejikakamua kujaza half tank or full tank, sasa just imagine uko nyuma ya SUV tatu za Range Rover, sijui full tank yake ni litters 200, basi utasubiri mpaka!, afadhali mbele yako iwe ni Bajaj na Boda Boda.

Kufuatia fole hizi kwenye vituo vya Total, nikajiuliza, yaani magari yote haya yanajazana vituo vya Total ili tuu kuchangamkia punguzo la Shilingi 70 kwa lita?.

Hivyo nikawahoji baadhi ya madereva, wasikilize wanavyosema kuhusu mafuta ya Total


In short wengi wamejibu kuwa kwa Tanzania, mafuta ya vutuo vya mafuta vya Total, ndio the best.

Swali, jee kuna ukweli kuwa mafuta ya Total, they are the best?.

Kwa vile Tanzania tunaagiza mafuta kwa bulk procurement, mafuta yote yanaletwa na waagizaji wachache walioshinda zabuni, sasa inawezekana vipi mafuta ya Total ndio yakawa the best, huku mafuta yote yameletwa pamoja?.

Paskali
 
Kuna ukweli ndani yake mkuu nilikua nikisumbuliwa tatizo la check engen kila wakati baada kubadilisha sana sensor fundi mmoja akaniambia tank la nafuta limechafuka nikafanya utaratibu nikabadili sensor na kusafisha baada ya hapo nikawa naweka mafuta total mara chache puma kwa kweli nilikaa muda fulani bila kupata hiyo shida. Nilisafiri kwenda Tanga sio mwenyeji sana Tanga nilizunguka kidogo kutafuta Puma au Total sikuweza kupata kwa sababu nilikua nageuka nikaamua kuweka mafuta sheli nyingine sikuenda hata km10 Check engen hiyo Nilipo safisha sensor nikaachana kabisa na hizi petro station uchwara yapata mwaka sasa sijapata hilo tatizo tena. Kuhusu bulk may be wanachakachua up now still mafuta ya taa yapo bei pungufu kidogo kulinganisha na petrol Kumbuka kipindi cha Jk na petro station zilizoota kama uyogo morogoro road hasa kibaha na kingowe zilikua zikifanya kazi gani just thinking.
 
Hivi hawa ndio wenye excellium sijui!???

Mimi nikiwa hapa mjini huwa natafuta GBP ya karibu..nje huko kuna nyingi ambazo bei zake ni nafuu!!!
 
Pascal Mayalla umesahau kuwa Tanzania tunafufua hadi misukule?
Petrol ikifika kituoni huchanganywa na ethanol na wakati mwingine tina
Mkuu Bujibuji, kuna vitu humu, watu kazi yenu ni kusema tuu, ethanol inakuwa produced kiwandani kwa process ya fractional distillation, kutokana na different boiling points kwenye latent heat of vaporization, ikiisha boil na kuwa vapour inakuwa condensed kwenye condenses na kupata ethanol hivyo automatically, ku produce little ya ethanol ni costly zaidi kuliko kurefine crude oil, nani achanganye ethanol na petrol, kuhusu thinner sijui cost, but its more expensive kuliko mafuta ya taa.

P.
 
Paschal acha kutuletea matangazo yako hapa ni hivi total wanamaliki vituo lkn wao hawaendeshi waswahili ndio wanaendesha codo (company owned dealer operating) swala la uwizi ama vengine vinaweza kufaywa na madelear tu kweupe wangapi wanacheza na pump za mafuta wakishirikiana na wakala wa vipimo? Kitu kizuri kuhusu total ni mazingira mazuri ya vituo vyake ila kuhusu bei vituo kama camel oil, oilcom,lake oil wanapunguza zaidi ya 100 bila valentine wala boxing day. Na mafuta ni yale yale Bob sabb nchi hii mafuta yote yanaagizwa kwa bulk procument system yote yataenda total, Oryx, oilcom ni aina moja
 
Kuna ukweli ndani yake mkuu nilikua nikisumbuliwa tatizo la check engen kila wakati baada kubadilisha sana sensor fundi mmoja akaniambia tank la nafuta limechafuka nikafanya utaratibu nikabadili sensor na kusafisha baada ya hapo nikawa naweka mafuta total mara chache puma kwa kweli nilikaa muda fulani bila kupata hiyo shida. Nilisafiri kwenda Tanga sio mwenyeji sana Tanga nilizunguka kidogo kutafuta Puma au Total sikuweza kupata kwa sababu nilikua nageuka nikaamua kuweka mafuta sheli nyingine sikuenda hata km10 Check engen hiyo Nilipo safisha sensor nikaachana kabisa na hizi petro station uchwara yapata mwaka sasa sijapata hilo tatizo tena. Kuhusu bulk may be wanachakachua up now still mafuta ya taa yapo bei pungufu kidogo kulinganisha na petrol Kumbuka kipindi cha Jk na petro station zilizoota kama uyogo morogoro road hasa kibaha na kingowe zilikua zikifanya kazi gani just thinking.
Nakupa tu taarifa mafuta yote nchi hii yanaletwa na kampuni moja tu inayoshinda bidding sasa swala la total kuwa bora mafuta sijui nn ni itakadi na kwa sasa hakuna mpuuzi anaechakachua na HVO vituo vyote vinaendeshwa na waswahili hao hao sio total,puma wala Oryx
 
Paschal acha kutuletea matangazo yako hapa ni hivi total wanamaliki vituo lkn wao hawaendeshi waswahili ndio wanaendesha codo (company owned dealer operated) swala la uwizi ama vengine vinaweza kufaywa na madelear tu kweupe wangapi wanacheza na pump za mafuta wakishirikiana na wakala wa vipimo? Kitu kizuri kuhusu total ni mazingira mazuri ya vituo vyake ila kuhusu bei vituo kama camel oil, oilcom,lake oil wanapunguza zaidi ya 100 bila valentine wala boxing day. Na mafuta ni yale yale Bob sabb nchi hii mafuta yote yanaagizwa kwa bulk procument system yote yataenda total, Oryx, oilcom ni aina moja
Mkuu Bafa, mimi sio dereva, waliosema mafuta ya Total are the best sio mimi ni madereva, ndio maana nimeuliza humu, kwanza is it true, mafuta ya vituo vya Total are the best?, na pili the best kivipi?.

P.
 
Total ni wafaransa.

Tunategemea kuendesha shughuli zao kwa european standards.

Pamoja na bulky procurement, hao wengine kina oilcom au camel oil wanachakachua kwenye depot zao.

Binafsi naweka mafuta petrol stations za Total, nikiwakosa naenda Puma au GBP.

Oilcom na Cameoil siweki kabisa mafuta kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Bafa, mimi sio dereva, waliosema mafuta ya Total are the best sio mimi ni madereva, ndio maana nimeuliza humu, the best kivipi?.

P.
Mkuu niko industry hii kwa mwaka wa 15 sasa hakuna anepinga ubora, setting na brand ya total hasa mandhari yake lkn swala la mafuta yote yanayokuja nchini ni sina moja ndio yatapelekwa total,Oryx,puma,oilcom etc. Na hata hizo pump zote zinapimwa na wakala mmoja tu a vipimo. Kwahyo mentality ya ubora wa mafuta nutakupinga lbda service nyingine.
 
Kuna issue ya utunzaji/uhifadhi wa mafuta nafikiri hilo nalo laweza changia ubora wa bidhaa yao ukilinganisha na wengine.

Lakini pia kuna suala zima la namna wanavyojali huduma na mengineyo ambayo waweza yapata kwenye vituo vyao.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali,
Jee Kuna Ukweli Kuwa in Tanzania, Mafuta ya Vituo vya Total, " They are The Best?. If Yes, How?!.
Hakuna shaka kabisa kuwa vituo vya mafuta vya TOTAL vina huduma nzuri na mafuta yake yanaaminika zaidi. Ukijaza mafuta TOTAL huwa hakuna shaka ya kupunjwa au pump kuchezewa. Ila baadhi ya vituo vingine vingi huwa wana tabia ya kufanya ujanja ujanja wa kucheza na pump na kuibia wateja. Na jingine mafuta yao mimi huwa nakuwa na uhakika hayajachanganywa na vitu visivyotakiwa. Si hayo tu hata oil zao ni bora na zinaaminika kwa kiwango kikubwa.
 
Back
Top Bottom