Jee, Tanzania ina akiba 'reserve' ya dhahabu?

Sijali

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
2,672
Reaction score
1,814
Ili sarafu ya nchi iwe na thamani ni lazima iwe na mukabala wake katika dhahabu. Najua hii ni sera ya zamani ya uchumi, lakini tangu matatizo ya fedha ya dunia kulipuka, wengi wanaona turudie kwenye 'dhamana' hii ya dhahabu.
Nimesoma kuwa Misri ina akiba ya tani 76 za dhahabu ambazo zinaisadia sarafu yake hivi sasa isiporomoke thamani, ingawaje nchi hiyo inakabiliwa na matatizo makubwa ya kisiasa.
Tanzania ni nchi inayotoa dhahabu kwa wingi. Nadhani ni ya tatu au ya nne barani Afrika kwa utoaji wa dhahabu. Swali ni hili: Jee tuna akiba yeyote ya dhahabu?
Nani anayejua kiasi cha akiba ya Tanzania ya dhahabu, wana JF?
 
gavana Ndullu alisema wanatunza dola tuwanakama dola mil 350 ambazozinatosha kwa matumizi ya miezi sita
 
gavana Ndullu alisema wanatunza dola tuwanakama dola mil 350 ambazozinatosha kwa matumizi ya miezi sita

Kwahiyo tumeacha kutunza DHahabu ambayo ni Stable sasa tunaweka makaratasi ndani wakati CHINA wenye sasa hivi wanajuta kwa kuweka ma dollar mengi ndani huku dola inaporomokakila siku huko duniani.

Nadhanihii pia inaweza kuwa ni sababu ya kuporomoka kwa shilingi kwa dola.

Cheki wanchofanya wachina sasa Chinese dumping worthless currency for gold | Bear Market Investments
nahii hapa Chinese dumping worthless currency for gold (17May10) | Investing in Gold and Silver
 
Ha wapi?gold itoke wapi wakati vasco dagama kila kukicha yupo ktk makongamano,na kujialika ktk economic forums za watu wakati tunateseka na njaa
 
Sijawahi kusikia reserve yoyote ile katika nchi hii - kila kitu kinaliwa leo, tumia ulichonacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…