Hii kitu imekua ikisumbua sana kichwa yangu,maana tumezoea kusikia watu waliogundua sijui ziwa victory,mlima kilimanjaro,bagamoyo,sijui mara HIV inapatikana pia kwa kugegedana,mara kagundua ndege,magari,meli,tren....................
Sasa leo nataka kujua kama kuna mtu(mwanasayansi)wa kwanza aliyegundua kwamba ili kupata mtoto itakubidi kufanya tendo la ndoa(kugegeda)Na ni nini kilichosababisha mpaka akabaini hilo?na alikua raia wa nchi gani?
Najua JF ni kiboko yao na ni zaidi ya kupata elimu na ukweli utapatikana hapa jamvini!