Jee waandishi wa habari wa Tanzania wana-abuse power waliokuwa nayo??

Jee waandishi wa habari wa Tanzania wana-abuse power waliokuwa nayo??

Ngoja nishangae kwanza. Mwanzisha thread amezungumzia WAANDISHI wa habari. GT analishambulia Tanzania Daima. Naomba mwongozo, tujadili nini?

Mathematically speaking, using set theory specifically, Tanzania Daima being a newspaper falls into a subset of the universal set of the Tanzania media and qualifies as adequate and game sample space in probabilistic and other analyses.

In other words, Tanzania Daima is as the ngwini would tell you "part and parcel" of the media, pointing out issues pertinent to Tanzania Daima would be pointing out issues pertinent to parts of the Tanzania Media.

When analyzing, compartmentalization and personalization helps to drive the point home.You can talk all you want in the abstract about how our media is performing dismally, but once you start to exemplify as GT did with specific cases, instances and happennings, that is where you irrefutably and categorically put matters on the line.

So I do not see anything wrong with GT's approach of pinpointing problems down to a paper and a paragraph in an article.Philosophically speaking without the part, how can you have the whole? Chemically speaking without the atom, how can you have the compound? Without individual papers and media houses, how can you have "the Tanzania Media"?
 
Lakini kama naona madudu yanayofanywa na wanahabari, kwa maana ya ukiukwaji wa maadili na misingi ya taaluma yao yanazidi kupungua, na nafikiri wakati utatupeleka mahali pazuri zai.

Watanzania siyo mbumbu wote kwa pamoja na wakati wote, wanajua chombo gani kinawapa matapishi ya mafisadi na kipi kinafanya wajibu wake wa msingi, unaweza kuthibitisha hili kwa jinsi baadhi ya vyombo vilivyoshuka chati za mauzo kutokana na hali hii.
 
Mkamap na mwenzio GT, munajikaanga kwa mafuta yenu. Hiyo mada ya huo waraka wa kina Mkapa na wenzake, ulijadiliwa kwa kina murudi na kuisoma vyema. Tukirudi kwenye mada husika kuhusu waandishi wa Tanzania, nadhani mukiwa munatenda haki, munaweza kurudi na kuangalia habari zote zilizoandikwa na Majira na Rai kwa wiki mbili zilizopita, mutaona ni aibu tupu. Angalia Majira habari walizoandika kuhusu Wangwe, utaona siku ya Press Conf ya Kina Lipumba waliandika stori na baada ya siku mbili wakarudia habari ile ile tena kwa uzito mkubwa, hapo sijui hao ndio wanaokusudiwa kuandika habari kwa kutumwa, au munazungumzia kina nani? Angalia Majira wanaandika wakimnukuu Paul Kyara, bila kuwaambia wasomaji Kyara ni nani na alitokea wapi kabla ya kuanzisha chama chake na kauli zote za Kyra zina mrengo gani!! Huo ndio mfano hai wa uchafu katika fani ya habari. Vinginevyo urudi nyuma na mifano hai ya jinsi, Sumaye, MWandosya, Malecela, Kitine, Kigoda, Dk. Salim na wengine wengi walivyoathiriwa vibaya na matumizi mabaya ya vyombo vya habari na walioshiriki kutunukiwa japo sasa wameonekana udhaifu wao na mifano ipo wazi. Vinginevyo musilete mjadala wa kujadili HEWA toeni mifano watu wajadili na kuona PUMBA na MCHELE ni upi

Kwahiyo nani alimununua huyu mhariri ili apindishe habari? ama majira wakipindisha ndio wanakua wamenunuliwa na wakipindisha Tanzania daima inakua kawaida tu .
 
Mathematically speaking, using set theory specifically, Tanzania Daima being a newspaper falls into a subset of the universal set of the Tanzania media and qualifies as adequate and game sample space in probabilistic and other analyses.

In other words, Tanzania Daima is as the ngwini would tell you "part and parcel" of the media, pointing out issues pertinent to Tanzania Daima would be pointing out issues pertinent to parts of the Tanzania Media.

When analyzing, compartmentalization and personalization helps to drive the point home.You can talk all you want in the abstract about how our media is performing dismally, but once you start to exemplify as GT did with specific cases, instances and happennings, that is where you irrefutably and categorically put matters on the line.

So I do not see anything wrong with GT's approach of pinpointing problems down to a paper and a paragraph in an article.Philosophically speaking without the part, how can you have the whole? Chemically speaking without the atom, how can you have the compound? Without individual papers and media houses, how can you have "the Tanzania Media"?

Yes Mkuu, abstracting was what should have been done from the worl go so as to keep things in right perspetive. I quoted GT becuase I believed he was sort of out of line given the original post which generalised the whole media and put it into one basket. It would have helped alot,if the thread starter had pipointed specific examples, because I for one, am very warry of generalisation.
 
Mimi bado napata shaka katika hayo ya kufichuwa maovu!... Wanafanya wao wynyewe au wanalipwa na wakubwa, na kambiwa nani wamharibie jina!... na kuongeza uongo kidogo!.....

Maana ukiamuliwa kuondesha sehemu! waandishi wa habari ndio weapon nzuri....

Habari wanazoandika ni SADIKI ukipenda!!!
Ni kweli SIO WENGI WAO BALI NI WACHACHE WAO NI WAZURI. wengi wao ni mamluki.Hao waholanzi wamarekani nk wanao wasifia kwakuwa hawajakosolewa katika sera zao. kwa sababu waandaishi wetu wanaogopa kukosa VI-TRIP vya ulaya au mialiko katika semina ambazo nchi hizo huandaa hapa nchini na hulipa posho nono
 
Back
Top Bottom