vp mkuu kuhusu spea?....isije ikawa ni matiti ya nyoka
mimi ninayo, kwani ulikuwa unayahitaji? natania tu
sio siri dada preta spare zinaweza kuwepo lakini bei yake ikawa ni balaa
Leo nimejifunza msamiati mpya, "Matiti za nyoka". He he he!.siku hizi kutokana na huu uchumi wetu inabidi (kwa sisi wengine) tukitaka gari tujali na uwepo wa spea.....nina rafiki yangu ana Opel Vita, hiyo gari inamdraivu kraize.....kwa kweli kama janga halijakukuta binafsi basi utajifunza kwa wenzio........hiyo ndio tunaita matiti za nyoka
Leo nimejifunza msamiati mpya, "Matiti ya nyoka". He he he!.
He he he tuonane kesho pale Savanah tule mdudu!.point of corr.....matiti za nyoka....he he....nimekumiss
Spea zake zinapatikana duka gani Kariakoo? Tafadhali tupe maelezo zaidi sisi ambao tunafikiria kununua.