Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Miaka ya 90 DHL walikua na ofisi mikoani na waliajiri vijana wa kupeleka mizigo kwa wateja. Vijana walipewa pikipiki kubwa na walifanya kazi kwa ufanisi.
Amazon ni kampuni kubwa, ukiweza kufungua ofisi na kusimamia Uriah I wa makontena bandarini na wateja kupelekewa bidhaa zao mpaka nyumbani kama wanavyofanya Ulaya na Marekani watakapata faida sana.
Kutokana na kutokua na uhakika wa usafiri, Afrika wengi wanategemea bidhaa za China. Kama Amazon atapanua wigo wake Afrika ambana Mchina katika soko hili.
Bidhaa za China wengi tunazitumia kama last resort kama una uwezo wa kupata bidhaa za bora zaidi ni kheri kuongeza pesa kidogo kuzipata.