Ulimaanisha DHL au uko sahihi?Miaka ya 90 HDL walikua na ofisi mikoani na waliajiri vijana wa kupeleka mizigo kwa wateja.
Angalia hata nguo, bado tunavaa mitumba , na kuvaa mitumba ni reflection ya umasikini wa kutisha na low purchasig powerMnanunua wangapi huko ámazon? Maana amazon ni rejareja watatu wenye purchasing power ya kununua hata simu ya mil 1 Tanzania hamfiki 1000[emoji23] uma unatumia akina tecno.
Chukua Samsung hata used za laki 5 above in price pita maofisini unauza uone wanaozimudu. Unaweza rudi nazo home zote labda u apply mkopo. Ndio mtu ataweza nunua cash amazon..
na hata kodi za bandarini, ninaamini kodi ya bandarini hapa bongo inatukosesha mahitaji mengi sana ya muhimu. kwani wakipinguza kodi tukaanza kuagiza bidhaa nyingi nje ambazo sio leo wala kesho tutatengeneza hapa kwamba useme tunalinda viwanda vyetu...kuna mmoja alitoa mfano wa magari, akasema wakipunguza kodi ya magari itawafanay watu wengi sana kuagiza na kumiliki magari na wao watakata kodi kubwa kwenye mafuta. ni akili tu. tumelinda sana viwanda vyetu vya nguo, ajabu yake tunavyovilinda ni vitenge na kanga ambazo wanaume hatuvai. na wakati huohuo hatuweki mazingira mazuri basi wawekezaje waje kuwekeza hapahapa, tunaishiishi tu alimradi.Miaka ya 90 DHL walikua na ofisi mikoani na waliajiri vijana wa kupeleka mizigo kwa wateja. Vijana walipewa pikipiki kubwa na walifanya kazi kwa ufanisi.
Amazon ni kampuni kubwa, ukiweza kufungua ofisi na kusimamia Uriah I wa makontena bandarini na wateja kupelekewa bidhaa zao mpaka nyumbani kama wanavyofanya Ulaya na Marekani watakapata faida sana.
Kutokana na kutokua na uhakika wa usafiri, Afrika wengi wanategemea bidhaa za China. Kama Amazon atapanua wigo wake Afrika ambana Mchina katika soko hili.
Bidhaa za China wengi tunazitumia kama last resort kama una uwezo wa kupata bidhaa za bora zaidi ni kheri kuongeza pesa kidogo kuzipata.
Kitu ninachowaza pia ni vibaka, bidhaa itabidi zikatiwe insurance, fikiria unaletewa iPhone 13 pro max na kijana wa bodaboda anaiketa akabwe na vibaka.na hata kodi za bandarini, ninaamini kodi ya bandarini hapa bongo inatukosesha mahitaji mengi sana ya muhimu. kwani wakipinguza kodi tukaanza kuagiza bidhaa nyingi nje ambazo sio leo wala kesho tutatengeneza hapa kwamba useme tunalinda viwanda vyetu...kuna mmoja alitoa mfano wa magari, akasema wakipunguza kodi ya magari itawafanay watu wengi sana kuagiza na kumiliki magari na wao watakata kodi kubwa kwenye mafuta. ni akili tu. tumelinda sana viwanda vyetu vya nguo, ajabu yake tunavyovilinda ni vitenge na kanga ambazo wanaume hatuvai. na wakati huohuo hatuweki mazingira mazuri basi wawekezaje waje kuwekeza hapahapa, tunaishiishi tu alimradi.