Jeff Bezos (Amazon) atengeneza Dola bilioni 13 ndani dakika 15!!

Jeff Bezos (Amazon) atengeneza Dola bilioni 13 ndani dakika 15!!

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,173
1580450201395.png

Thamani ya shea za Kampuni ya Amazon inc zimepanda kwa asilimia 12 kufikia dola 2,100 leo. Hii ni baada ya kuripoti Earnings za robo mwaka.

Baadhi ya kampuni nyingine ambazo zimetoa reporti nzuri jana ni Apple, Tesla, GE, Facebook na Microsoft.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni President Trump ameranya vizuri sana kwenye uchumi wa America!

======
Amazon's Jeff Bezos, already the wealthiest person on the planet, just got billions richer

Jeff Bezos, the world’s richest person, got billions richer in minutes Thursday as Amazon shares soared in extended trading on news of a killer quarter driven by strong holiday sales.

Bezos’ fortune shot up about $13 billion. At $2,100 a share, the Amazon CEO is now worth about $129.5 billion, according to the Bloomberg Billionaires Index.

Fourth-quarter revenue and profit crushed Wall Street estimates. Amazon said its profit grew 8% to $3.3 billion for the three months that ended in December. Earnings per share were $6.47, wildly exceeding $4.04 per share analysts were expecting, according to research firm FactSet. Revenue surged 21% to $87.44 billion.

The winning streak has helped Bezos leapfrog Bill Gates as the wealthiest person on the planet.

MacKenzie Bezos, former wife of the Amazon founder, has unloaded about $350 million worth of Amazon shares, about 1% of her Amazon stock, according to a recent filing with the Securities and Exchange Commission.

As part of the couple’s divorce settlement last year, MacKenzie Bezos got a 4% stake in Amazon, or about 19.7 million shares.

Amazon.com scored more than just good financials in the fourth quarter. The online retailer reported it now has more than 150 million Prime members, up 50% from the last time Amazon released the number in 2018.

"Amazon blew all expectations out of the water during the holiday quarter," eMarketer analyst Andrew Lipsman said in a statement.

Sales got a big boost from the rollout of next-day Prime delivery, but the real surprise were increased profits in the face of higher costs and competitive pressures in Amazon's cloud business, he said.

Source: USA Today
 
Dola 2,100? . Ukitaka kujua hajaingiza hizo dollar bilioni 15, mwambie auze hisa zake zote ili apate pesa cash akaweke benki, akijaribu ty kufanya hivyo, hizo hisa zitashuka hadi kufikia thamani yake halisi na sio hiyo inflated value.., itashuka mara 1000 kadhaa...
 
Kwa nini auze hisa zake ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali iruhusu watanzania kununua hisa kwenye makampuni ya nje Kama haya ya Amazon nk tutatajirika haraka na kuzalisha watanzania wengi matajiri
 
Dola 2,100? . Ukitaka kujua hajaingiza hizo dollar bilioni 15, mwambie auze hisa zake zote ili apate pesa cash akaweke benki, akijaribu ty kufanya hivyo, hizo hisa zitashuka hadi kufikia thamani yake halisi na sio hiyo inflated value.., itashuka mara 1000 kadhaa...
Dahhhh, Hivi kuna kitu Watanzania ambacho hatukifahamu.? Naona Mtazania mwezetu amewashinda Mabeberu katika kuchakata utajiri wa Jeff.
 
Dahhhh, Hivi kuna kitu Watanzania ambacho hatukifahamu.? Naona Mtazania mwezetu amewashinda Mabeberu katika kuchakata utajiri wa Jeff.
We are like Jack of many traders but master of none.
Kila Mtanzania ni daktari, mwanasheria, mwanauchumi, mwanausalama, mwanamazingira, mwanajeshi, mwanasiasa, mchambuzi wa masuala ya kimataifa, mwandishi wa habari, yani sisi tuko vizuri kila sekta aise
 
Kwa nini auze hisa zake ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema auze, nimesema ukutaka kujua hajaingiza kiasi hicho cha pesa, na kujua thamani halisi ya hizo hisa, basi auze zote apate cash akaweke benki, hata wewe ukutaka kujua thamani ya gari lako,nlipeleke sokoni, hata wakikwambia lina thamani ya milioni 100,peleka sokoni uone lina fetch kiasi gani, na hiyo ndio thamani yake.
 
Dahhhh, Hivi kuna kitu Watanzania ambacho hatukifahamu.? Naona Mtazania mwezetu amewashinda Mabeberu katika kuchakata utajiri wa Jeff.
Its simple logic, hizo hisa huwezi kwenda dukani kutaka gari, ni lazima uuze upate pesa, sasa tu-assume anataka anunue kitu chenye thamani sawa nahisa zake, siitabidi auze zote, sasa auze zote uone atafetch kiasi gani...
 
Serikali ipi inayokataza kununua hisa kwenye masoko makubwa mkuu?
Uhujumu uchumi!
Ulianza lini biashara kodi yako mwaka uliyopita ulilipa kiasi gani nani ana kudai !
Cheti cha kuzaliwa unacho!?
Cha Baba na Babu yako!?
Umeunga juhudi kwa kiasi gani!
Unatokea mkoa gani!?
Tunahitaji hesabu zako za TRA za kuanzia mwaka 2001 adi tarehe ya leo!?
Na Gari unayo tembelea kwanini ulilipia ushuru kidogo wakati bei yake inatambulika ata kama ni used ulinunuwa!?
Bank una kiasi gani!
Pesa zako bank umezilipia kodi!?
Je mshahara wako umelipa kodi!?
JARIBU UONE NDIO UTAJUWA KWA NINI KUKU HAKOJOWI!
 
Unazungumzia mazingira ya biashara Tanzania na vikwazo vyake , au biashara kufikia levels za Amazon au kununua hisa kwenye makampuni makubwa
Hebu twende taratibu mkuu
 
Unazungumzia mazingira ya biashara Tanzania na vikwazo vyake , au biashara kufikia levels za Amazon au kununua hisa kwenye makampuni makubwa
Hebu twende taratibu mkuu
Mazingira ya biashara Tanzania! Ama vyote kwa pamoja!!
Ila Mazingira ni magum kupita maelezo!!
Mfanyabiashara Tanzania ni mhalifu muda wowote hana amani!
 
Mazingira ya biashara Tanzania! Ama vyote kwa pamoja!!
Ila Mazingira ni magum kupita maelezo!!
Mfanyabiashara Tanzania ni mhalifu muda wowote hana amani!
Hivi unajielewa wewe mwenyewe kweli?
 
Back
Top Bottom